Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni kweli hakuna mantiki ya kubadili jina la Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais wake Jamal Malinzi aliyeingia madarakani Oktoba 29, 2013, limekuwa katika harakati kadha wa kadha kuhakikisha mchezo huo unapiga hatua mbele. Kwa lengo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukweli hakuna mwenye kuitaka Taifa Stars

Taifa Stars inapoingia uwanjani, kila mmoja anataka kuona inashinda. Si timu hiyo, hata timu nyingine, kila mmoja anataka kuona ushindi unapatikana.

 

9 years ago

Vijimambo

TAIFA STARS NA NIGERIA HAKUNA MBABE ZATOKA 0-0

Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars metoka suluhu ya 0-0 na Timu ya Taifa ya Nigeria Green Eagles katika mchezo uliochezwa leo Jumamosi Sept 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambayo matangazo yake yalinaswa na Vijimambo Blog kupitia tunein ya Radio E- FM, Taifa Stars inastahili pongezi kwa kiwango cha mpira ilichokionesha leo bila kujali ni timu gani au ukubwa wa timu waliocheza nayo.
Kutokana na matangazo ya Radio hiyo yaliyoletwa moja kwa moja kutoka...

 

10 years ago

GPL

CATHY, KUBADILI JINA KISA LINA MKOSI

Na Hamida Hassan MKONGWE wa filamu kitambo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa jina analotumia katika sanaa lina mkosi hivyo yuko kwenye mkakati wa kulibadilisha na kujipa jina lingine labda linaweza kumkaa vizuri. Staa wa filamu bongo Sabrina Rupia ‘Cathy'. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema anaona jina hilo lina mkosi kwa sababu linazungumzwa vibaya na baadhi ya wasanii wenzake hata kama kuna kitu...

 

11 years ago

Bongo5

Agnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa ‘Thando’

Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko! Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia […]

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA KUFANYA TRANSFER (KUBADILI JINA) LA KIWANJA/NYUMBA, UTARATIBU WA HARAKA NI HUU

Na  Bashir  Yakub.
Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba  lakini mali hizo zimeendelea  kubaki katika  majina  ya waliowauzia. Wapo ambao  imepita  hata  miaka  kumi  tangu wanunue  maeneo   lakini  bado  hawajabadili  jina kuingia  jina  lake. Zipo sababu  nyingi  zinazosababisha  hali hiyo  lakini  moja  ni  watu  kutokujua  umuhimu  wa kubadili  jina  kwa haraka. 
Hapa sizungumzii  tu  kubadili jina  isipokuwa nazungumzia  kubadili  jina  kwa haraka. Kupitia  makala  haya  napenda  kuwaamsha...

 

10 years ago

Mtanzania

Sadifa: Hakuna jina litalokatwa Kamati Kuu

sadifaNA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Khamis Juma amesema, ndani ya vikao vya Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu (NEC) hakuna jina la mgombea litakalokatwa bila kumuonea mtu.
Kauli hiyo aliitoa juzi jijini hapa katika sherehe za kumwapisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wa Wilaya ya Arusha DC, Mathias Manga kuwa Kamanda wa vijana wa wilaya hiyo.
Akizungumza na mamia ya wanachama na viongozi wa CCM kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI

She changed her name from Jacqueline Ntuyabaliwe to Jacqueline Mengi....... "Life isn't happening to you; life is responding to you."-this is her new tagline on Instagram 

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Hakuna Mapenzi ya Kweli Bila Wivu-Wolper

Mwigizaji  Jackline Massawe “Wolper” akiwa amepozi namna hiyo huku akionekana yupo 4GB ametupia mtandaoni  ujumbe huu.

“There is no true love without JEALOUSY…Blessed…bby upo peke yakoooooo…love”

Bila shaka huu ujumbe kamtumia mpenzi wake…Lakini hata mimi nawewe unatugusa.....yanaukweli wowote maneno haya?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani