Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CATHY, KUBADILI JINA KISA LINA MKOSI

Na Hamida Hassan MKONGWE wa filamu kitambo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa jina analotumia katika sanaa lina mkosi hivyo yuko kwenye mkakati wa kulibadilisha na kujipa jina lingine labda linaweza kumkaa vizuri. Staa wa filamu bongo Sabrina Rupia ‘Cathy'. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema anaona jina hilo lina mkosi kwa sababu linazungumzwa vibaya na baadhi ya wasanii wenzake hata kama kuna kitu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ni kweli hakuna mantiki ya kubadili jina la Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais wake Jamal Malinzi aliyeingia madarakani Oktoba 29, 2013, limekuwa katika harakati kadha wa kadha kuhakikisha mchezo huo unapiga hatua mbele. Kwa lengo...

 

11 years ago

Bongo5

Agnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa ‘Thando’

Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko! Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia […]

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA KUFANYA TRANSFER (KUBADILI JINA) LA KIWANJA/NYUMBA, UTARATIBU WA HARAKA NI HUU

Na  Bashir  Yakub.
Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba  lakini mali hizo zimeendelea  kubaki katika  majina  ya waliowauzia. Wapo ambao  imepita  hata  miaka  kumi  tangu wanunue  maeneo   lakini  bado  hawajabadili  jina kuingia  jina  lake. Zipo sababu  nyingi  zinazosababisha  hali hiyo  lakini  moja  ni  watu  kutokujua  umuhimu  wa kubadili  jina  kwa haraka. 
Hapa sizungumzii  tu  kubadili jina  isipokuwa nazungumzia  kubadili  jina  kwa haraka. Kupitia  makala  haya  napenda  kuwaamsha...

 

9 years ago

Mtanzania

Kylie Jenner, Tyga kuachana kisa jina la Drake?

Kylie Jenner, TygaNEW YORK, Marekani

BAADA ya wiki kadhaa za furaha ya nyota wa muziki nchini Marekani, Tyga kumnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon alipofanya sherehe ya kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake, hali imebadilika na kuwa ya huzuni.

Uhusiano wa wawili hao unaonekana kuingiwa na mdudu mbaya baada ya kutokea malumbano kati yao ambapo kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood life, chanzo ni kwamba Tyga alimtukana mpenzi wake huyo kwa kumfananisha mambo mabaya na Drake.

Mtandao huo...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI

She changed her name from Jacqueline Ntuyabaliwe to Jacqueline Mengi....... "Life isn't happening to you; life is responding to you."-this is her new tagline on Instagram 

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkosi wamwandama Brendan,Liverpool

Kocha wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutwaa taji lolote.

 

11 years ago

Mwananchi

Kimwaga apata mkosi mwingine

Winga chipukizi wa Azam FC na Taifa Stars, Joseph Kimwaga ameumia tena goti baada ya juzi kuteleza na kuanguka wakati akitoka bafuni kuoga.

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YA WAZIRI MKOSI TUPU

Mwandishi wetu MIKOSI mikosi! Hakuna neno lingine sahihi zaidi ya hilo kufuatia watoto wawili wa aliyewahi kuwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi katika serikali ya awamu ya tatu, Tatu Ntimizi, Mussa na nduguye, Said Ntimizi kwa nyakati zinazokaribiana kukumbwa na madai ya uhalifu yaliyowasababishia kufikishwa polisi na mahakamani  ....Soma zaid hapa====>http://bit.ly/1IXdcZG ...

 

11 years ago

GPL

MBRAZILI WA YANGA ATUA NA MKOSI DAR

Coutinho akiwa katika pozi. Na Richard Bukos
KIUNGO mshambuliaji wa Kibrazili, Andrey Coutinho, aliyetua jana (Ijumaa), kutoka nchini humo kuja kukipiga kwenye timu ya Yanga, jana alitua na mkosi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, baada ya gari lililoenda kumchukua kufungwa nyororo na wasimamizi wa maegesho ya magari uwanjani hapo. Katika sakata hilo mchezaji huyo baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani