TAIFA STARS NA NIGERIA HAKUNA MBABE ZATOKA 0-0
Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars metoka suluhu ya 0-0 na Timu ya Taifa ya Nigeria Green Eagles katika mchezo uliochezwa leo Jumamosi Sept 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambayo matangazo yake yalinaswa na Vijimambo Blog kupitia tunein ya Radio E- FM, Taifa Stars inastahili pongezi kwa kiwango cha mpira ilichokionesha leo bila kujali ni timu gani au ukubwa wa timu waliocheza nayo.
Kutokana na matangazo ya Radio hiyo yaliyoletwa moja kwa moja kutoka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV27 Oct
Man Utd, Chelsea hakuna mbabe, zatoka 1-1.
Nchini England Manchester United walitoka sare ya goli 1 -1 na Vijana kutoka darajani Chelsea katika uwanja wa Old Trafford.
Haikuchukua muda mwingi punde tu baada ya kuanza kwa kipute hicho, mchezaji mkongwe Didier Drogba akawainua mashabiki wa Chelsea baad ya kufunga goli zuri la kichwa.
Goli hili liliweza kudumu hadi dakika za nyongeza za mchezo huo na kuwapa matumaini mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa wangekusanya point zote tatu kutoka kwa Man U.
Dakika ya 93 ya mchezo Mholanzi...
9 years ago
Habarileo24 Aug
Twiga Stars, Kenya hakuna mbabe
TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars, jana ilitoka sare ya kufungana 1-1 na wenzao wa Kenya, Harambee Starlets, katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan.
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Ukweli hakuna mwenye kuitaka Taifa Stars
9 years ago
GPL06 Sep
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Ni kweli hakuna mantiki ya kubadili jina la Taifa Stars
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais wake Jamal Malinzi aliyeingia madarakani Oktoba 29, 2013, limekuwa katika harakati kadha wa kadha kuhakikisha mchezo huo unapiga hatua mbele. Kwa lengo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JiD-IFjhl5M/XuHn6bA8iZI/AAAAAAAEHmw/UeDEqxwLvbggAa4V2OUKtUZez27mQaF-QCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
AZAM NA KMC HAKUNA MBABE
Yassir Simba, Michuzi TV
Mchezo wa kupashapasha misuli kabla ya kurejea kwa ligi kuu Tanzania bara VPL June 13, 2020 baina ya waoka mikate Azam Fc dhidi ya Kino Boys KMC uliopigwa jana June 10,2020 katika dimba la Azam Complex Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam umeshuhudia Azam Fc na KMC Fc wakitoka sare ya kufunguna bao moja kwa moja
Mabao ya Sergie Tape dakika ya 54 na bao la la kusawazisha kwa upande Azam Fc dakika ya 80 ya mchezo lilofungwa na kiungo Mzanzibar Mudathir Yahya...
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Arsenal , Liverpool hakuna mbabe
10 years ago
BBCSwahili27 Oct
Man U na Chelsea hakuna mbabe