HUYU REHEMA FABIAN MAJANGA
![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzV2P4cqx1OfWKnS-ijebAV9ZdAbC4GMgLw4DuyEHzuw9ylYscyDeeYKCqIweclPj2B8kH06kxFR0gHYv9hhrkmi/rehema.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi. Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jHDOJ2k19XhAESiaRNGF8kKW-Wk8m5zQNbBA13Hqj8l0ZbeU2dM-WD2*x4x2wCvVEuOsr4A8Qyr7j8Odn-KeEnK/5REHEMAFABIAN5.jpg?width=650)
REHEMA FABIAN ANANGWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jFOIY4-HTkrKHiQjOChSX*OvD66SQ*-b5VYMvOnf6dwbDgm9d*tJueeW7yEyB-qBwwGFu5VHQRpxxSXsCsJOu1B/rehema.jpg?width=650)
REHEMA FABIAN LAIVU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA*aV*uPVXAxE*MsybtMbfQ12XThT*vnDDia-0BSZkeZ*zvbDywDUGv6B5ZbEQruxv2mX3k3ONWJmBEtNDcvUpoi/REHEMA2.jpg?width=650)
REHEMA FABIAN APATA GONJWA LILILOMUUA BABA’KE
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Manchester City yamsajili Fabian Delph
5 years ago
Liverpool Echo07 Apr
Fabian Ruiz could be the solution to Liverpool's midfield problem
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T-HJnJHVkkU/U560qUPshuI/AAAAAAAAHHI/7JlfEvS6D30/s72-c/Fabian+Lwamba.jpg)
Mahojiano ya Kwanza Production na Fabian Lwamba wa Krystaal
![](http://2.bp.blogspot.com/-T-HJnJHVkkU/U560qUPshuI/AAAAAAAAHHI/7JlfEvS6D30/s1600/Fabian+Lwamba.jpg)
Karibu kwenye mahojiano kati ya Kwanza Production na Fabian LwambaMmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1bTpQtyNIyA/U560qNDG97I/AAAAAAAAHHE/QG6txhg_TVo/s1600/Lwamba+brothers.jpg)
Walikuja kuungana Canada ambako kwa miaka 16 wamekuwa pamoja kama kundi la muziki wa injili. Amezungumza pia mkanganyiko wa IMANI na TAMADUNI zetu. Swali.... Ni upi...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HdDilBsjTM0/VoDzsHvRivI/AAAAAAAAP30/cLJv5Zif8Xs/s72-c/IMG-20151227-WA0017.jpg)
LUCIAN NA FABIAN JOSEPH WATAMBA ARUSHA TOURISM MARATHON
![](http://2.bp.blogspot.com/-HdDilBsjTM0/VoDzsHvRivI/AAAAAAAAP30/cLJv5Zif8Xs/s640/IMG-20151227-WA0017.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2QhPa4Umsuo/VoDzyfKUmVI/AAAAAAAAP38/2AP1l9omAQY/s640/IMG-20151227-WA0010.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-RHGO0zZruRU/VoDz0k1VZFI/AAAAAAAAP4E/9tqV0fYK63o/s640/IMG-20151227-WA0014.jpg)
Na Woinde Shizza,Arusha
Mwanariadha Reginal Lucian alifanikiwa kushinda kwa upande wawanaume,katika shindano la Arusha Tourism Marathon baada ya kutumiamuda wa 1:00:05,akifatiliwa na mwanariadha wa kimataifa,...
9 years ago
TheCitizen20 Dec
Fabian Nelson wins gold medal in 10km race