Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REHEMA FABIAN ANANGWA

Rehema Fabian katika pozi. Stori: Shakoor Jongo
MISS Kiswahili 2008 Bongo, Rehema Fabian amenagwa vibaya na wadau baada kutupia picha za utupu katika mtandao wa Instagram. Wakizungumza na paparazi wetu mara baada ya kuziona picha hizo ambazo zinamuonesha baadhi ya viungo vyake nyeti, mashabiki wa staa huyo walimponda wakidai wamemchoka kwa kupenda kupaisha jina lake kupitia picha hizo chafu. “Anajidhalilisha sana,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

REHEMA FABIAN LAIVU

Stori: Shakoor Jongo
KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu. Miss Kiswahili mwaka 2009, Rehema Fabian, akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mnyetishaji wetu ambaye naye yuko nchini humo alisema kuwa kwa sasa mrembo huyo anajiachia na babu...

 

11 years ago

GPL

HUYU REHEMA FABIAN MAJANGA

Stori: Mwandishi Wetu
MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi. Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.… ...

 

11 years ago

GPL

REHEMA FABIAN APATA GONJWA LILILOMUUA BABA’KE

Stori: Musa Mateja NOOO! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 Bongo, Rehema Fabian anasumbuliwa na tatizo la maini na mapafu kuharibika, ugonjwa uliomuua baba’ke. Rehema Fabian. Akistorisha na mwanahabari wetu, Rehema alifunguka kuwa aliingia nchini tangu Desemba, mwaka jana, akiwa hoi kiasi cha kufikia kudondoka kwenye uwanja wa ndege jijini Dar akitokea China alipokuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka. “Nililazwa kwa zaidi...

 

11 years ago

GPL

JOYCE KIRIA ANANGWA!

Stori: Paparazi Wetu SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora. Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria. Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha...

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA ANANGWA MAKALIO YA KICHINA

Na Gladness Mallya
KUTOKANA na kubadilika kimuonekano na kila kukicha makalio kuzidi kuwa makubwa, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amenangwa kwamba anatumia dawa za Kichina kuyaongeza ukubwa. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse. Tofauti na alivyokuwa zamani, Maimartha kwa sasa anaonekana kuwa na makalio makubwa hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau wake wa karibu na kusema kwamba mwanadada huyo anatumia dawa...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI ANANGWA, KISA MAKALIO

Na Rhoda Josiah
MJINI kuna vituko! Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake. Staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti. Akipiga stori na paparazi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume aliyemuoa analijua hilo...

 

11 years ago

GPL

NISHA ANANGWA KUMWANIKA MTOTO MWENYE UKIMWI

           Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akiwa na mtoto aliyemwanika laivu mitandaoni. Stori: Mwandishi Wetu
OOHOOO! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amenangwa kutokana na kitendo chake cha kumwanika laivu mtoto anayeishi na Virusi vya Ukimwi (VVU). Nisha akiwa kwenye baiskeli na mtoto huyo anayeishi na Virusi vya Ukimwi… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Manchester City yamsajili Fabian Delph

Nahodha wa kilabu ya Aston Villa Fabian Delph amekuwa mchezaji wa hivi karibuni kujiunga na kilabu ya Mancity siku chache tu baada ya kusema kuwa atasalia katika uwanja wa Villa Park.

 

5 years ago

Liverpool Echo

Fabian Ruiz could be the solution to Liverpool's midfield problem

Fabian Ruiz could be the solution to Liverpool's midfield problem  Liverpool Echo‘Scrap it and start again’ – Man Utd star Shaw wants season ended & Liverpool denied title  Goal.comLiverpool reverse furlough decision and apologise to fans  Sky SportsA letter from Peter Moore to Liverpool supporters  Liverpool FCLiverpool make U-turn over furlough scheme after clubs slammed  ArabnewsView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani