Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA ANANGWA KUMWANIKA MTOTO MWENYE UKIMWI

           Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akiwa na mtoto aliyemwanika laivu mitandaoni. Stori: Mwandishi Wetu
OOHOOO! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amenangwa kutokana na kitendo chake cha kumwanika laivu mtoto anayeishi na Virusi vya Ukimwi (VVU). Nisha akiwa kwenye baiskeli na mtoto huyo anayeishi na Virusi vya Ukimwi… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Mtoto wa Lamar (Nisha) na mtoto wa Gelly wa Rhymes (Queen) nani mrembo zaidi?

Producer wa Fishcrab, Lamar na muimbaji Gelly wa Rhymes, ni miongoni mwa mastaa wenye watoto. Bahati nzuri wawili hao wana watoto wa kike warembo kweli kweli. Na sasa tunakuuliza, nani mrembo zaidi? Nisha wa Lamar au Queen wa Gelly? Queen Nisha Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA MTOTO WA DAVINA NISHA ATIA AIBU

Gladness Mallya na Imelda Mtema
POMBE si chai! Msemo huu ulitimia hivi karibuni baada ya staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kuzidiwa na kilevi na kuanza kushindana kukata mauno na kusababisha azingirwe na wanaume waliovutiwa naye. Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akikata mauno. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumatano iliyopita katika sherehe ya bethidei ya mtoto wa msanii...

 

11 years ago

GPL

FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA

Na Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amefunguka kuwa ubize wa kulea mwanaye ndiyo umemfanya avunje urafiki na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’. Flora Mvungi akiwa na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’. Flora alifunguka hayo juzikati baada ya paparazi wetu kumuuliza juu ya taarifa zinazodai kuwa wawili hao wamepishana kauli na kila mmoja kuishi kivyake.… ...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI ADHIMU


Mtoto huyo pichani umri wake hauzidi hata miaka mitano (5) lakini sarakasi alizoruka zilimsangaza kila mtu, wahusika wanatakiwa watembee mikoani kuangalia vipaji hivi, hawa ndio watakaotuletea medali za Olympic miaka ya baadae kama wakiendelezwa. Hii ilikuwa Wilayani Handeni mkoani Tanga wakati wa sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Mkata-Handeni hadi Korogwe kwa kiwango cha lami.

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kuishi na mtoto mwenye vvu-1

Wiki iliyopita tuliona uchunguzi na matibabu kwa mtoto mwenye virusi vya Ukimwi, leo tunaendelea na mada hiyo na tutaangalia jinsi ya kuishi na mtoto wa mwenye VVU.

 

10 years ago

Habarileo

Ajifungua mtoto mwenye sura ya chura

Kitanda cha Upasuaji.MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na chura.

 

11 years ago

GPL

MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU... ATUA INDIA

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita....

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown ni baba wa mtoto mwenye miezi 9!

Chris Brown ni baba. Kwa mujibu wa TMZ, muimbaji huyo wa R&B ana mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa. Mama wa mtoto huyo ni model wa zamani mwenye miaka 31 aitwaye Nia, ambaye amemfahamu Chris kwa miaka mingi. Nia na Chris wanadaiwa kuwa na maelewano lakini hawana uhusiano. TMZ imedai kuwa Breezy anafurahia […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Wazazi wamtupa mtoto mwenye akili tahira

Wazazi 2 kutoka Australia wameshtumiwa vikali kwa kumtelekeza mtoto aliyezaliwa na mama wa kupanga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani