MTOTO MWENYE KIPAJI ADHIMU
![](http://2.bp.blogspot.com/-RBa6EB8Jgrw/UzuokLGhb8I/AAAAAAAFXxo/1cn-bbbZiyo/s72-c/unnamed.jpgJ.jpg)
Mtoto huyo pichani umri wake hauzidi hata miaka mitano (5) lakini sarakasi alizoruka zilimsangaza kila mtu, wahusika wanatakiwa watembee mikoani kuangalia vipaji hivi, hawa ndio watakaotuletea medali za Olympic miaka ya baadae kama wakiendelezwa. Hii ilikuwa Wilayani Handeni mkoani Tanga wakati wa sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Mkata-Handeni hadi Korogwe kwa kiwango cha lami.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar
MTOTO mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri wa kujijengea uwezo wa kujiamini anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani, Lonnie Hudson maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.
King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za za...
11 years ago
KwanzaJamii30 Jul
Mtoto mwenye kipaji cha kukariri Bibili anahitaji msaada
10 years ago
VijimamboGRACE MAGORI MTOTO WA KITANZANIA MWENYE KIPAJI CHA KUIMBA AZIDI KUPAA DMV
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-J_Rv17MhYOQ/VbNqZrWajAI/AAAAAAAAxKE/rJqDXf0DzYk/s72-c/1.jpg)
MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-J_Rv17MhYOQ/VbNqZrWajAI/AAAAAAAAxKE/rJqDXf0DzYk/s640/1.jpg)
MTOTO mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri wa kujijengea uwezo wa kujiamini anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani, Lonnie Hudson maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya kongamano kubwa la watoto na wazazi katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...
10 years ago
GPL11 Nov
10 years ago
GPLAZZY MLEMAVU MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-k1RvVw_LafE/U-jyq14mznI/AAAAAAAF-go/CgvP32GCVyM/s72-c/unnamed+(52).jpg)
mtoto mbunifu wa mirerani aonesha kipaji chake
![](http://3.bp.blogspot.com/-k1RvVw_LafE/U-jyq14mznI/AAAAAAAF-go/CgvP32GCVyM/s1600/unnamed+(52).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SKGgggl3mRY/U-jyq0f-mwI/AAAAAAAF-gk/yfxHFLVJMfE/s1600/unnamed+(53).jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/Untitled13.jpg)
10 years ago
Habarileo05 Dec
Ajifungua mtoto mwenye sura ya chura
MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na chura.