Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mtoto mbunifu wa mirerani aonesha kipaji chake

 Mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Mirerani, Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Amani Augostino (14) akiwaonyesha wakaazi wa kata hiyo mfano wa nyumba ya ghorofa aliyoitengeneza kwa maboksi ya karatasi na ambayo anaiuza kwa shilingi 10,000. Alipohojiwa amesema nyumba hiyo ameitengeneza yeye mwenyewe na kwamba yeye ndoto yake ni kuwa msanifu wa majengo awapo mkubwa. Picha na Joseph Lyimo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dullayo ajivunia kipaji chake

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abrahaman Kasembe ‘Dullayo’, amesema anajivunia kipaji alichonacho kwani hakiwezi kuchuja kama inavyokuwa kwa wasanii wengine. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Dullayo alisema,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meddy Slova ajivunia kipaji chake

MVUMILIVU hula mbivu. Huu ni msemo uliokuwepo toka enzi za mababu, ambao katika makala hii unajidhihirisha wazi kwa kinachofanywa katika jukwaa la muziki na chipukizi Ahmed Mgallusy ‘Meddy Slova’. Akiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfahamu mpiga picha maarufu Albert Manifester anayetumia kipaji chake kusaidia jamii

258270_465050636851038_395823295_oAlbert Manifeter katika pozi..

Na Andrew Chale, modewjiblog

Duniani, kila mwanadamu amejariwa uwezo na kipawa cha kufanya kitu ambacho mwingine hawezi kukifanya kwa  upande wake, iwe kwa kufundishwa ama kuzaliwa nacho, Hii pia tunaweza kuona kwa Mpiga picha maarufu nchini, Albert Manifester, ambaye amekuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha kiasi cha kujenga jina lake katika  ngazi mbalimbali ikiwemo ndani na nje ya nchi.

Hata hivyo, kupitia kipaji chake hicho, albert Manifester, Mei 24 mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI ADHIMU


Mtoto huyo pichani umri wake hauzidi hata miaka mitano (5) lakini sarakasi alizoruka zilimsangaza kila mtu, wahusika wanatakiwa watembee mikoani kuangalia vipaji hivi, hawa ndio watakaotuletea medali za Olympic miaka ya baadae kama wakiendelezwa. Hii ilikuwa Wilayani Handeni mkoani Tanga wakati wa sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Mkata-Handeni hadi Korogwe kwa kiwango cha lami.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar

MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.

King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.

Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za  za...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto mwenye kipaji cha kukariri Bibili anahitaji msaada

Na Albano Midelo MTOTO Alois Milinga pichani  mwenye kipaji cha kukariri Biblia anahitaji msaada wa sh. 300,000 ili aweze kukamilisha masomo ya kidato cha nne mwaka huu. Mtoto huyo mwenye uwezo wa kukariri Biblia neno kwa neno anasoma katika shule ya sekondari ya Mbesa iliyopo wilayani Tunduru mkoani Ruvuma  mwaka huu anatarajia kumaliza kidato cha nne. Hata hivyo amekosa fedha za kumalizia ada pamoja na michango mingine ambayo inahitajika katika shule hiyo kutokana na mzazi wake mama yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani