Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IAWRT yazindua Ripoti ya nafasi ya Mwanamke katika Vyombo vya Habari

Bi Razia Mwawanga kutoka IAWRT akifungua mkutano wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa nafasi hasa katika vyombo vya habari hasa hapa nchini.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamojablog)

Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of Women in Radio and Television (IAWRT) Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa nafasi hasa katika vyombo vya habari hasa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

USALAMA MTANDAO NA NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUTOA ELIMU.

Hali ya usalama mtandao ni dhahiri bado jitihada za dhati zinahitajika ili kuweza kuleta mabadiliko na kupata Tanzania salama kimtandao, Afrika na dunia kiujumla. Ili kuleta mabadiliko chanya jukumu la kutoa elimu halipaswi kubaki kwa mtu mmoja au kundii Fulani la watu bali ni lazima kuwe na kuunganisha nguvu ya pamoja kutoka katika kila mtu mmoja mmoja.


Miongoni mwa jitihada zinaonekana kwa vyombo vya habari na makundi mbali mbali nchini Tanzania kuanza kuona umuhimu wa maswala ya ulinzi...

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA KUHUSU NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO NCHINI TANZANIA YAFUNGULIWA LEO KILIMANJARO.

  Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini Mmoja wa  washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True Vision Production...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA KUSINI

 Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa pamoja na Mhariri Mkuu wa Habari na Matukio wa  Channel  Afrika ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) Busi Chaane (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika ya SABC Mike Arareng (wa kwanza kulia) walipotembelea studio hizo kwa ziara ya mafunzo. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian), David...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

 Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC). Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani