Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idadi ya vijana wenye Ukimwi Dar yashtua

>Wakati vijana 40,000 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24, wakibainika kuambukizwa ugonjwa wa Ukimwi jijini Dar es Salaam, viongozi, wabunge  na wafanyabiashara wametajwa kuwa vinara wa kusambaza ugonjwa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Idadi ya vijana wanaoajiriwa yazidi kuongezeka

Idadi ya vijana wanaoajiriwa katika utumishi wa umma yaongezeka na vijana wengi wamekuwa na mwamko na hamasa ya kupenda kufanya kazi katika utumishi wa umma

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana waliozaliwa na Ukimwi wajieleza

Ikiwa ulimwengu leo unaadhimisha siku ya UKIMWI duniani, idadi vijana wadogo wanaokufa kwa UKIMWI imeongezeka mara tatu katika miaka 15 iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Tanzania kunufaika na siku ya idadi ya watu - UNFPA


Vijana kutoka Tanzania.(Picha ya UNFPA/TanzaniaTarehe 18 Novemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya idadi ya watu. Siku hii hutumiwa kufahamu idadi ya watu duniani na  huku takwimu hizo zikitumiwa kupanga  mikakati ya ustawi wa watu  duniani kote. Maudhui ya siku hiyo mwaka huu ni ustawi wa vijana kundi ambalo ni nguvu kazi katika jamii.Shirika la idadi ya watu duniani UNFPA ndilo linaloratibu kazi hiyo ambapo nchini Tanzania shirika hilo hilo linatarajia kuitumia siku hiyo kuwanufaisha...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa  kuwa tangu kuanza  kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu  na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa  kifua kikuu  wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...

 

10 years ago

GPL

RAIS ZUMA KUPITISHA SHERIA YA WATU WENYE VVU KUWEKEWA ALAMA SEHEMU NYETI, ITASAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI?

BAADA vurugu za wenyeji kuwashambulia wageni, Afrika Kusini imetengeneza tena 'headilines' baada ya Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma kusaini muswada ambao utawalazimu watu wote watakaogundulika kuwa na Virusi vya HIV kuwekewa alama jirani na sehemu zao nyeti. Kuanzia sasa mtu atakayepimwa na kugundulika kuwa na VVU nchini Afrika Kusini hatapewa ushauri nasaha peke yake, bali pia atachorwa tattoo kuonyesha kuwa ameathirika. "Alama...

 

10 years ago

Michuzi

Warsha ya Maafisa Vijana,waratibu wa ukimwi na wadau mbalimbali yafikia siku ya tatu jijini Mwanza

Mwakilishi wa Vijana kutoka kamati ya kudhibiti Ukimwi manispaa ya Shinyanga Bw,Rigobert Rwehumbiza akielezea wajibu binafsi kwa kijana kwa washiriki wenzie katika warsha ya siku nne ya stadi za maisha na afya ya uzazi.Katibu asasi ya Vijana ya Boys & Girls Bw,Johnson Jacob kutoka Bariadi akionyesha igizo lilikuwa likionyesha wajibu wa Vijana  kwa Familia ikiwamo kuwalinda na kuwapatia mahitaji yao muhimu.Mtaalamu wa Stadi za Maisha Bw,Robert Semkiwa akiwafundisha waratibu wa ukimwi na...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. GODBLESS LEMA AFUNGUA WARSHA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA JIJINI ARUSHA

 Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha hiyo jijini Arusha Picha ya pamoja ya washiriki pamoja na mgeni rasmi Mh. Godbless Lema.Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

TACAIDS YASEMA KILA BAADA YA SAA MOJA WATU TISA WANAAMBUKIZWA UKIMWI, WENGI WAO NI VIJANA

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

TAKWIMU za maambukizi ya Ukimwi nchini Tanzania kwa sasa yanayonesha kuwa kwa mwaka kuna maambukizi mapya 72000 na kwa siku kuna maambukizi mapya ya watu 200 na hivyo kufanya kila saa moja kati ya watu nane hadi tisa wanaambukizwa ugonjwa huo.

Akizungumza leo Machi 6 mwaka 2020 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania(TACAIDS) Dk.Leonard Maboko amefafanua mwaka 2016 hadi mwaka 2017 ulifanyika utafiti na kubaini kwa mwaka kuna...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wenye sifa za kuajiriwa wapo vijijini

ASILIMIA 80 ya vijana wenye sifa na uwezo wa kuajiriwa wapo vijijini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani