Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idarous awika na mitindo Nigeria

MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin, mwishoni mwa wiki aliitangaza vema Tanzania katika onesho la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalumu kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN

 Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Asya Idarous wa  Khamsin almaarufu kama "Mama wa Mtindo" Mtanzania aliyejizolea sifa kedekede na anayeendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.Tunamtikia kila la kheri, afyaa njema,maisha bora, maisha marefu,na furaha ya maisha.
 Keki ya Mama wa MitindoMama wa Mitindo akionesha kwa nini anaitwa hivyo.Globu ya Jamii inamtakia Mama wa Mitindo maisha marefu ya furaha, heri...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC

 Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26, 2015 siku gwiji hilo la mitindo alipotembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 Asya Idarosu Khamsini atafanya onesho la khanga Durham, North Carolina. Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26,...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KUPAMB SIKU YA MWANAMKE DUNIANI ZANZIBAR MACHI 22

11072283_933753296658934_392071823375109477_n..burudani kutolewa na Baby J, Coconut na Zanzibar One Modern taarabNa Andrew ChaleMachi 22 mwaka huu Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kinatarajiwa kuwa na tukio moja kubwa litakalowakutanisha Wanawake mbalimbali na kusheherekea siku ya Mwanamke Dunia, ndani ya ukumbi wa Bwawani Hoteli.
Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo akiwa sambamba na ...

 

10 years ago

GPL

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS, GUSAGUSA MIN BAND KUFANYA MAONYESHO UINGEREZA

Bana ya shoo hiyo ya Gusagusa Min band na Asia Idarous Khamsin itakayofanyika nchini Uingereza London, Uingereza Mbunifu wa mavazi nchini ‘Mama wa Mitindo’, Asia Idarous Khamsin yupo nchini Uingereza akiwa ameambatana na magwiji wa muziki wa taarab kutoka Tanzania, Gusagusa Min Band ambao watafanya maonyesho makubwa ndani ya miji ya nchi hiyo ikiwemo London na Northampton. Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo nchini...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA WA MITINDO ASiA IDAROUS-KHAMSINI AONGELEA MAANDALIZI YA LADY IN RED KESHO

Mama wa Mitindo Asia Idarius- Khamsin (pichani) akiongea na Vijimambo Blog mapema leo akizungumuzia onesho la miaka 10 la Lady in Red litakalofanyika hoteli ya Serena jijini DAr es salaam kesho Ijumaa Feb 14, 2014 maalum kwenye siku ya wapendanao maandalizi yanaelekea ukingoni hebu msikilize hapo chini

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama wa mitindo Asia Idarous kupamba siku ya Mwanamke Duniani Zanzibar Machi 22

11072283_933753296658934_392071823375109477_n

..burudani kutolewa na Baby J, Coconut na Zanzibar One Modern taarab

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Machi 22 mwaka huu Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kinatarajiwa kuwa na tukio moja kubwa litakalowakutanisha Wanawake mbalimbali na kusheherekea siku ya Mwanamke Dunia, ndani ya ukumbi wa Bwawani Hoteli.

Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!

  Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika Lahnam, Maryaland nchini Marekani. Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki. Ni vivazi vya mama wa mitindo Asya Idarous Khamisni. Mtoto manshallah akiwa ndani ya vazi la mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini.   Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi. Ilikua ni vivazi kwa kwenda mbele. Kijana akijitanashati na kivazi...

 

9 years ago

Vijimambo

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake

Mama Asya Idarous Khamsini kuonyesha vazi la khanga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani