Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ielewe Hasira chimbuko lake (2)

Katika makala ya wiki iliyopita tuliangalia hasira ni nini na chimbuko lake, leo tunaendelea na sehemu ya pili ya mada hii ambapo tutaangalia nini mzizi na ukweli kuhusu hasira.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chimbuko la michuano ya AFCON

Hii ni historia ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika ambayo inatajariwa kwa hamu na mashabiki wa soka kote barani Afrika

 

10 years ago

Mwananchi

ASILI NA CHIMBUKO LA KISWAHILI

Inafahamika kuwa lugha ya Kiswahili ni lugha kamili na wala si lugha chotara kwa maana ya mchanganyiko wa lugha ya Kiarabu na lugha ya Kibantu kama watu wengi wanavyodhani. Lugha ya Kiswahili ina chimbuko lake na pia ina asili yake.

 

10 years ago

Mwananchi

ASILI NA CHIMBUKO LA KISWAHILI

Tambua kuwa lugha ya Kiswahili ni lugha kamili na wala si lugha chotara kwa maana ya mchanganyiko wa lugha ya Kiarabu na lugha ya Kibantu kama watu wengi wanavyodhani.

 

10 years ago

GPL

HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 3

Mpenzi msomaji, baada ya utambulisho juu ya hawa jamaa ni akina nani, wiki iliyopita nilianza kuangalia chimbuko lao. Nilieleza namna Freemasons walivyokuwa wakijenga mahekalu na kujumuika humo wakisimikana katika madaraja ya kimasoni, zama hizo kulikuwa na madaraja matatu tu, yaani Apprentices (wanafunzi wa mwanzo), Journeymen (wanafunzi wa kati kuelekea kuiva) na Grandmaster (waliofuzu). SASA ENDELEA… Kuchimba na kusoma...

 

10 years ago

GPL

HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 2

Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilidokeza kuwa katika simulizi hii nitahakikisha najibu maswali yote ambayo yamekuwa yakiulizwa sana na wasomaji.
SASA ENDELEA… Je, mtu anawezaje kujiunga nao na kwamba kuna ukweli kuwa atapata utajiri kwa kufumba na kufumbua macho? Je, ni masharti au vigezo gani ambavyo lazima uvitimize ndiyo ujiunge nao? Fomu za kujiunga zinapatikanaje na wapi? Je, wana makao yao hapa nchini au Afrika...

 

5 years ago

Raia Mwema

Chimbuko na mwenendo wa ugaidi duniani

KWA upande mwingine shambulizi la kigaidi huko Nice linaashiria kuwa wakati kwa muda mrefu magari

Evarist Chahali

 

9 years ago

Dewji Blog

Fahamu chimbuko la siku ya Maruhani “Halloween”

Na Swahilivilla blog. Washington D.C   Jana ililkuwa ni “Siku ya Maruhani” nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama “Halloween” husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu.   Siku ya Maruhani ilianzia huko barani Ulaya kiasi miaka 2,000 iliyopita ikifungamana na imani za kishirikina. Wazung walipoyavamia mabara ya Amerika walihamia pia na utamaduni mila, desturi, dini, na silka zao – na sema upendavyo. Miongoni mwa hayo ilikuwa ndiyo hii siku ya Maruhani ambayo jina lake la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani