Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP: Amani, utulivu nchini ni lazima

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu mkakati wa Jeshi lake katika kupambana na vitendo vya uhalifu. Mwingine ni Naibu wake, Abdulrahman Kaniki. (Picha na Fadhili Akida).MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amesema ni lazima nchi ikae kwa amani na utulivu, hivyo wananchi wanapaswa kutii sheria bila shuruti kwa kutumia njia halali za kudai haki na kufuata utaratibu unaokubalika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Apex Group aomba wananchi kudumisha Amani na Utulivu katika Uchaguzi Mkuu utakao fanyika kesho nchini kote

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati,  Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex...

 

9 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI WA MAKAMPUNI YA APEX GROUP AOMBA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UTAKAO FANYIKA KESHO KUTWA KOTE NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati,  Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE NA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI KUDUMISHA AMANI,UTULIVU NA UADILIFU NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akionyesha tuzo yake mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),aliyotunukiwa kwa mchango wake mkubwa kwa shughuli mbalimbali za kijamii,katika tamasha la pasaka.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika tamasha la 15 la Pasaka lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunawatakia uchaguzi wa amani na utulivu

JUMAPILI ijayo, Watanzania watafanya uamuzi wa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Habarileo

‘CCM italinda amani, utulivu’

Rais na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi na wanaCCM wa mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake, Pemba jana. (Picha na Mpigapicha Wetu).MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema CCM itasimamia misingi yake mikuu ya kuasisiwa kwake, ambayo ni kulinda amani na utulivu wa wananchi wake.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.

 

9 years ago

Habarileo

Wema na wenzake kunadi amani, utulivu

KUNDI la wasanii wa kike wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wakiongozwa na Wema Sepetu wanatarajia kufanya tamasha kubwa la Mama Ongea na Mwanao 2015 kwa ajili ya kuhamasisha watu kuwaheshimu wanawake na kuwathamini kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu 2015.

 

9 years ago

Habarileo

Mitihani yaanza kwa amani na utulivu

MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani