IGP ampa mtihani RPC Kagera
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, amemwamuru Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga, kuwachunguza na kuwatia mbaroni askari wanaotuhumiwa kushirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali za viroba...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Daily News19 Jul
Newly appointed Kagera RPC calls for close cooperation from citizens
Daily News
KAGERA Regional Police Commander (RPC), Mr Agustino Ollomi, has appealed to the general public to cooperate in fighting crime. RPC Ollomi, who reported for duty four weeks ago, taking over from RPC Henry Mwaibambe said the duty of maintaining ...
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi
KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.
“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...
10 years ago
TheCitizen17 Oct
NYERERE & KAGERA WAR-4: Kagera War: Lessons and challenges
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
RPC Tarime matatani
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime Rorya, Justus Kamugisha, anatumia madaraka yake vibaya kumnyanyasa askari wake, G. 2751 PC. Japhet Samwel, aliyeumia mkono akiwa kazini mgodini Nyamongo. Licha ya...
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
RPC Msangi awachefua CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mbeya Mjini kimetoa siku tatu kwa Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi, kukanusha kauli yake aliyotoa hivi karibuni ya kuwa...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
BAVICHA wamtahadharisha RPC Iringa
MAKAMU Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Taifa, Patrick Ole Sosopi, amemtaka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi asiingilie maandamano makubwa ya vijana yaliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi...
9 years ago
AllAfrica.Com14 Sep
Let Us Contain Road Carnage Collectively, RPC
AllAfrica.com
THE current road traffic carnages in Kagera Region cannot be left to continue unchecked, and hence continue claiming the lives of innocent Tanzanians brutally, the Kagera Regional Police Commander (RPC), Mr Augustine Ollomi, has said. He said that ...
11 years ago
Habarileo21 Jan
RPC aagiza wauzaji wa tindikali kujisajili
POLISI mkoani Simiyu imewataka wauzaji wa tindikali, kujisajili kwa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, ili watambulike kisheria na kupewa utaratibu wa matumizi sahihi ya bidhaa hiyo. Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Charles Mkumbo, pia aliwatahadharisha wananchi wote kuwa atakayekutwa na tindikali mtaani, atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
RPC Tabora amkingia kifua mtuhumiwa
HATMA ya Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga mkoani Tabora, SP Edson Mfuru anayedaiwa kumuachia mtuhumiwa Magata Singu anayetuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa 14...