Ikorodu Bois wasanii waliogiza matukio katika filamu ya Money Heist
Ikorodu Bois hurudia matukio katika filamu ya Money Heist
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBC23 Jun
Nigeria: Ikorodu Bois remaking scenes from famous videos
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s72-c/unnamed+(47).jpg)
Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s1600/unnamed+(47).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jgjF-mr0UUU/Uu-ZprOo1wI/AAAAAAAFKsk/5AGV2k4Fr-o/s1600/unnamed+(46).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vTiH9EdcK0A/VNn4HfokBOI/AAAAAAAAenU/moMXVyN_1WQ/s72-c/slim.jpg)
9 years ago
MichuziMATUKIO MBALIMBALI KATIKA WA MKESHA WA MWAKA 2016 KATIKA PICHA
10 years ago
Bongo Movies17 May
Mbembe: Wasanii Kuvimba Vichwa Kunaua Filamu
SEIF Mbembe mwigizaji mkongwe anayetamba katika tasnia ya filamu anachukizwa na tabia za baadhi ya wasanii kufika sehemu za kazi na kutumia muda mwingi kuchezea simu na kuwachelewesha wasanii wengine ambao wanakuwa wapo kwa ajili ya kazi na si ubishoo unaofanywa na wasanii wenye majina makubwa.
“Kinachotukutanisha pale ni kazi sasa mtu mwingine anavyoleta utoto na ni mtu mzima haipendezi, wanadharau sana hasa wakiitwa masupa star vichwa vinavimba sana, lakini bila nidhamu katika kazi ni...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
DCB Yaonyesha Njia Kwa Wasanii wa Filamu
DCB Commercial Bank imefungunga njia kwa wasanii wa filamu baada ya kuwashirikisha katika kampeni za kutoa elimu kwa wateja wa kibenki kupitia njia ya filamu, Benki hiyo ambayo toka kuanza kwake imekuwa na mafanikio makubwa imetengeneza filamu maalum inayojulikana kwa jina la DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO).
Benki hiyo inayofanya vema katika taasisi za Kibenki baada ya kufanya utafiti ni njia ipo rahisi kuifikia jamii waligundua kuwa filamu inapendwa na watu wengi, ndipo wakaona...
10 years ago
Bongo524 Nov
Wasanii wa filamu 10 waliofanya vizuri mwaka 2014