Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IMAMU: NIMEMWAGIWA TINDIKALI KUTETEA MALI ZA MSIKITI

Na Musa Mateja
UNYAMA wa kutisha! Bwana mmoja ambaye ni imamu, aliyefahamika kwa jina la Mustafa Omar Mustafa, mkazi wa Ghana, Kata ya Nyamanoro jijini Mwanza, amefanyiwa unyama wa hali ya juu kwa kumwagiwa tindikili na watu wanaosadikiwa kuwa ni waumini wenzake, kisa kulinda mali za msikiti wao uliopo katika mtaa huo wa Ghana. Uwazi linakupa habari kamili. Mustafa Omar Mustafa, anayedaiwa kumwagiwa tindikali. ILIKUAJE?
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Imamu aiba nguruwe

KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba...

 

10 years ago

GPL

IMAMU HOI PENZI LA WASTARA

Deogratius Mongela na Chande Abdallah KATIKA hali ya kushangaza, Imam wa msikiti mmoja uliopo Kibamba, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Ustadh Anuary, yupo hoi kwa kuhitaji penzi la muigizaji nyota, Wastara Juma, Risasi Mchanganyiko linakujuza. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IGvVbv

 

11 years ago

GPL

IMAMU ANUSURIKA KIFO KWA WIZI WA ‘KITIMOTO’

IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto’. Waislam hao walivamia kituo cha polisi  baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam. ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Imamu na Askofu Tanzania waeleza kwanini wameamua kufunga nyumba za ibada

Nyumba za ibada nchini Tanzania zingali wazi tofauti na maeneo mengi ulimwenguni wakati huu wa janga la virusi vya corona.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheikh amwagiwa tindikali

IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa tindikali mbaroni

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni , Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Songea

Watu wasiofahamika wamemwagia tindikali, mkazi wa Kijiji cha Kitanda Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Sheikh Nasib Ally (80) na kumpofua jicho lake la kushoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani