IMAMU ANUSURIKA KIFO KWA WIZI WA ‘KITIMOTO’
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqp2esDecmGN6SRXV6mLfz-IyAstMLRmc3k2VFGYnVXBvIOFWffOkSQYGR8YeaztJeQv9JsYR1ZGhR3yAW-h7Omi/13.gif)
IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto’. Waislam hao walivamia kituo cha polisi  baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2QnKqCSHrMo/default.jpg)
KIJANA ANUSURIKA KUUAWA KISA WIZI MAMA AINGILIA KATI KUMUOKOA KIFO
Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo.
Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na kutokana na kipigi hicho kilichomfanya atapakae damu mwilimzima,...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Anusurika kifo kwa kunywa dawa ya kukamata wezi
MKAZI wa Bunda mkoani Mara, Pendo Kona amepoteza fahamu na kulazwa katika Hospitali ya DDH-Bunda, baada ya kunyweshwa dawa za kienyeji na waganga ili awabaini waliomwibia ng’ombe wake wawili Januari...
10 years ago
Habarileo23 Nov
Mtoto mgonjwa anusurika kifo kwa kipigo cha mfanyakazi
MTOTO wa miaka miwili aliyekuwa mgonjwa, amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kutoka kwa dada wa kazi, Jolly Tumuhiirwe (22), aliyekuwa akimlisha huko Uganda.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMIhE2drnwPHuLJGYNzS5y68r7foRgcXxsDEC7IRDd5h8JJJE3328vMJ*C*l7NTPXXrTVle7w4Wnf9rfg20zhPo/CRISBROWN.jpg)
CHRIS BROWN ANUSURIKA KIFO, SUGE KNIGHT AKIJERUHIWA KWA RISASI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qtWLZWAwR98bKPwALM7f0m26enTv2CGJBT8KmHyMmejdlU9vly6OQ2DyLqJgzbdqKP4x1RFcuGV-h*uezr9-knI/3.jpg)
JAMAA ANUSA KIFO, WIZI WA FEDHA KWA MITANDAO YA SIMU
10 years ago
GPLCHUO CHA IMAMU JAFAR SWADIQ CHAADHIMISHA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBs5nyM3SBnDOoYWrevrMB3mOjoubYwy0-PCLzYjrt-5h3qUz1BEOoOTgovDeocv4e3N8raY3QUoCVWoudOmX4Of/1.jpg?width=650)
ANUSURIKA KUUAWA KATIKA WIZI WA PIKIPIKI MAGOMENI, DAR
10 years ago
GPLANUSURIKA KIFO UBUNGO
11 years ago
Habarileo14 Dec
Lowassa anusurika kifo
ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.