Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IMETOSHA yaendeleza mkakati wake kimataifa kusafisha jina la nchi

Mkakati wa kutokomeza unyanyapaa na mauaji ya watu wenye ualbino nchini, uitwao IMETOSHA, jana ulianza rasmi kujitokeza kimataifa baada ya kushiriki katika pambano la kimataifa la kirafiki kati ya nyota wa zamani wa Barcelona na Veterani wa Afrika Mashariki.
Katika mpambano huo wa kimataifa uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangara, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadick na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA TAIFA

Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu wakinilaumu kutokana na tukio la mtoto Baraka Cosmas (picha ya kwanza) ambaye usiku wa kuamkia leo amekatwa mikono yake. Wanasema nilikuwa nakula Bata Uwanja wa Taifa huku watu wanateketea. Hasa alikuwa akiongea mtu anaitwa @hmgeleka. Kwanza nalaani kitendo hicho cha kikatili  na kuzidi kumuomba Rais...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkakati wa Megawati 10,000 kuiingiza nchi uchumi wa kati

Alisema wakati wa kutumia ujuanjaujanja kupata nafasi za kuwekeza katika maeneo muhimu kwa sasa haipo na kinachohitajika ni uwazi wakati wa kuomba fursa hizo muhimu kwa sasa.

 

11 years ago

GPL

OXFAM YAZINDUA MKAKATI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA TABIA NCHI KWA WAKULIMA‏

Kutoka Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign, Fazal Issa Afisa wa Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi  wote kutoka OXFAM .
Meneja wa Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia mabadiliko ya Tabia nchi jinsi yanavyo athiri katika Kilimo .…

 

10 years ago

Michuzi

Ban ki Moon asifia viongozi walioshirikiana naye katika mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la kila mwananamke, kile mtoto

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban ki Moon, akihutubia wakati wa uzinduzi wa  ripoti mpya  kuhusu mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la  kila  mwananamke, kile mtoto, ( every woman, every child) mkakati ambao aliuratibu mwaka 2010 .Na Mwandishi Maalum.


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban ki Moon,  amesema kama si utashi wa kisiasa,  kujituma, na kujitolea kulikofanywa na  viongozi mbalimbali aliowaomba kufanya naye kazi kwa karibu huku wengine wakijitolea wenyewe,  uhai wa  wanawake na...

 

9 years ago

Michuzi

Maana ya jina la Dudumizi na uhalisia wake kwenye IT

Neno Dudumizi si geni katika masikio ya watu wengi. Hapa kwetu Tanzania, Dudumizi inamaanisha ni ndege, ndege huyu mwenye rangi ya ugoro na nyeusi akiwa na macho mekundu ni adimu sana hasa kwa watu wanaoishi mijini, hii inaweza kutokana na uchache wake au mazoea ya ndege huyu. Pia, kwa upande wa pili, neno Dudumizi ni kampuni bora inayojishughulisha na masuala ya huduma za IT kama kutengeneza website, kutengeneza systems za kompyuta na application za simu.
Watu wengi wanaposikia jina Dudumizi...

 

9 years ago

Mwananchi

Siri ya jina la Janeth kuwa wake wa marais

Kila mzazi anapokaribia kupata mtoto, moja ya mambo muhimu ambayo hufikiria juu ya jina la kumpatia baada ya kujifungua na mtoto kuishi duniani. Wazazi wengi huchukua muda kufikiria ni jina gani zuri la kumpa mtoto wao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Millicom kuanza utekelezaji wa mkakati wake wa uwekezaji kwa kampuni ya simu ya Zantel Tanzania

7.1

Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akijibu maswali ya waandishi  (hawapo pichani) katika mkutano huo. Kushoto kwake ni Rachel Samren, Mwenyekiti wa Bodi ya Zantel na kulia ni Cynthia Gordon, Mkurugenzi Mtendaji wa Millicom Upande wa Afrika.

8

Mwenyekiti wa Bodi, Rachel Samren akizungumza na waandishi wa habari. Katikakati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin na kulia ni Cynthia Gordon, Mkurugenzi Mtendaji wa Millicom Upande wa Afrika.

1

Bi Rachel Samren, Mwenyekiti wa Bodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani