IMF kuipa Ukraine dola bilioni 10
Shirika la fedha duniani IMF limekubali kuipa Ukraine msaada ya dola bilioni 10 ilikuinusuru Uchumi wake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
EU kuipa Ugiriki mkopo wa dola bilioni 7
Tume ya bara Ulaya imependekeza mkopo wa muda mfupi wa dola bilioni saba nukta saba kwa Ugiriki, huku majadiliano kuhusu madeni ya nchi hiyo yakiendelea.
11 years ago
BBCSwahili01 May
IMF yatimiza ahadi kwa Ukraine
Shirika la Fedha Duniani IMF limeidhinisha msaada wa dola bilioni kumi na saba kuunusuru uchumi wa Ukraine
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_3FDwBPN5zQ/XuISMkYsIsI/AAAAAAAEHts/8Qn6LVzuTKsBMbweYEAZ34PzwDCu6L_3ACLcBGAsYHQ/s72-c/imf.png)
IMF YATOA DOLA MILIONI 14.3 KWA TANZANIA
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha kutoa msaada wa Dola za kimarekani Million 14. 3 kwa Tanzania na hiyo kupitia kikao cha bodi ya wakurugenzi kilichokaa jana Juni 10.
Kupitia mfuko wake wa kupambana na maafa(CCRT ) IMF imeisamehe Tanzania kiasi cha mkopo cha Dola za kimarekani milioni 14. 3 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo kuanzia sasa mpaka tarehe Oktoba 13, 2020.
Imeelezwa kuwa hiyo ni katika kunusuru uchumi wa Tanzania...
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Mwanamfalme kupeana dola bilioni 32
Mwanamfale wa Saudi Arabia Alwaleed Bin Talal amesema anatoa mali yake yote kwa hisani
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Wezi wa kompyuta wameiba dola bilioni 1
Genge la wezi wa kompyuta limeiba takriban dola bilioni moja kutoka kwenye akaunti za wateja wa mabenki 100 katika mataifa 30.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Marekani kuekeza dola bilioni 14 Afrika
Kampuni kadhaa za Marekani, zimeahidi kuekeza dola bilioni 14 barani Afrika hasa katika sekta ya kawi na miundo msingi.
10 years ago
BBCSwahili26 Jul
Obama:atoa ahadi ya dola bilioni moja
Wajasiriamali jijini Nairobi wamesifu rais wa Marekani Barack Obama kwa kuwachangia dolla billion moja
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Candy Crush imeuzwa kwa dola bilioni 5.9
Kampuni iliyotengeneza mchezo wa Candy Crush imenunuliwa kwa dola bilioni 5.9
10 years ago
Bongo509 Oct
Ebola kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi dola bilioni 32
Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaweza kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi zaidi ya dola bilioni 52 katika mwaka ujao iwapo maafisa watashindwa kuudhibiti, benki ya dunia imeonya. Benki hiyo imesema kwenye ripoti yake mpya kuwa, kama jitihada za kuzuia kusambaa kwake katika nchi zilizokubwa zaidi na ugonjwa huo– Liberia, Sierra Leone na Guinea – […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania