Marekani kuekeza dola bilioni 14 Afrika
Kampuni kadhaa za Marekani, zimeahidi kuekeza dola bilioni 14 barani Afrika hasa katika sekta ya kawi na miundo msingi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Oct
Ebola kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi dola bilioni 32
Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaweza kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi zaidi ya dola bilioni 52 katika mwaka ujao iwapo maafisa watashindwa kuudhibiti, benki ya dunia imeonya. Benki hiyo imesema kwenye ripoti yake mpya kuwa, kama jitihada za kuzuia kusambaa kwake katika nchi zilizokubwa zaidi na ugonjwa huo– Liberia, Sierra Leone na Guinea – […]
10 years ago
VijimamboMAREKANI YATOA DOLA BILIONI 30 KWA AJILI YA KULINDA MAZINGIRA, KUKUZA UHIFADHI NA UTALII
Serikali iya Marekani...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5NLdcW8kOh8/VYjojL-Jh0I/AAAAAAAHipk/nYxlHS2XEJY/s72-c/unnamed%2B%252876%2529.jpg)
Watu wa marekani watoa dola Bilioni 30 kwa ajili ya Kulinda mazingira, Kukuza uhifadhi na Utalii nchini
Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola Bilioni 30 kwa ajili ya Kulinda mazingira, Kukuza uhifadhi na Utalii nchini. Hafla ya kutiliana saini ilifanyika jana, Seronela mkoani Arusha ambapo waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress walisaini makubaliano ya dola 2milioni kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya ujangili n anyingine milioni 14.5 kwa ajili ya uhifadhi. Balozi huyo wa Marekani Mark Childress, alimwelezea Nyalandu, kuwa ni...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3VBFmmSqIbU/VDr2r_pvjVI/AAAAAAAGpoU/kazx_JHtPiw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro.. Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Mwanamfalme kupeana dola bilioni 32
Mwanamfale wa Saudi Arabia Alwaleed Bin Talal amesema anatoa mali yake yote kwa hisani
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Wezi wa kompyuta wameiba dola bilioni 1
Genge la wezi wa kompyuta limeiba takriban dola bilioni moja kutoka kwenye akaunti za wateja wa mabenki 100 katika mataifa 30.
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
IMF kuipa Ukraine dola bilioni 10
Shirika la fedha duniani IMF limekubali kuipa Ukraine msaada ya dola bilioni 10 ilikuinusuru Uchumi wake.
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
EU kuipa Ugiriki mkopo wa dola bilioni 7
Tume ya bara Ulaya imependekeza mkopo wa muda mfupi wa dola bilioni saba nukta saba kwa Ugiriki, huku majadiliano kuhusu madeni ya nchi hiyo yakiendelea.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania