Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU kuipa Ugiriki mkopo wa dola bilioni 7

Tume ya bara Ulaya imependekeza mkopo wa muda mfupi wa dola bilioni saba nukta saba kwa Ugiriki, huku majadiliano kuhusu madeni ya nchi hiyo yakiendelea.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ulaya yakubali kuipa Ugiriki mkopo

Benki kuu ya ulaya ECB imeafikiana kuendelea kuzifadhili benki za Ugiriki kuambatana na mapatano yaliyopendekezwa ijumaa iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulaya yakubali kuipa Ugiriki mkopo zaidi

Viongozi wa mataifa ya ukanda unaotumia sarafu ya Euro wamekubaliana kwa pamoja kuipa Ugiriki mkopo wa tatu kunusuru uchumi wake

 

10 years ago

BBCSwahili

Video:Ulaya kuipa Ugiriki mkopo zaidi

Viongozi wa mataifa ya ukanda unaotumia sarafu ya Euro wamekubaliana kwa pamoja kuipa Ugiriki mkopo wa tatu kunusuru uchumi wake

 

11 years ago

BBCSwahili

IMF kuipa Ukraine dola bilioni 10

Shirika la fedha duniani IMF limekubali kuipa Ukraine msaada ya dola bilioni 10 ilikuinusuru Uchumi wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Video:Masharti ya mkopo uliopewa Ugiriki

Ugiriki imepewa masharti makali ambayo sharti iyatimize kabla haijapewa awamu ya tatu ya mkopo wa Euro bilioni 50

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450

Ugiriki inatarajiwa leo Alhamisi kulipa nusu ya deni lake la dola milioni 450 inayodaiwa na shirika la fedha Duniani IMF.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vya ushirika vyapewa mkopo Sh2 bilioni

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Wilaya ya Mbinga, limetoa mkopo wa Sh 2 bilioni kwa vyama vinne vya ushirika ili viweze kukusanyia kahawa kwa wanachama wake ambao ni wakulima.

 

10 years ago

Michuzi

MeTL GROUP YAPATA MKOPO WA BILIONI 300/- KUTOKA RMB

signing dealOfisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mohammed Dewji (Mb) (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Rand Merchant Bank (RMB), Bw. Bruce Macfarlane (wa pili kulia) wakitiliana saini ya mkopo huo wa bilioni 300 za kitanzania. Kushoto ni Makamu wa Rais wa MeTL GROUP, Vipul Kakad na kulia ni Gregory Havermahl wa RMB wakishuhudia tukio hilo la utiliaji saini wa mkopo baina ya RMB na MeTL Group.
ToastAfisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mohammed Dewji (Mb) na Mkurugenzi Mtendaji wa Rand Merchant...

 

11 years ago

GPL

NBC YATOA MKOPO WA BILIONI MIA KWA MOHAMED ENTERPRISES

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) akisaini hati za makubaliano ya mkopo wa shs bilioni 100 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Mohamed Enterprises Ltd (METL), Mohamed Dewji kwa ajili ya kampuni dada ya METL ya Star Oils inayoshughulika na biashara ya uagizaji na usambazaji mafuta. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni baadhi ya watendaji wakuu wa NBC,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani