Ulaya yakubali kuipa Ugiriki mkopo
Benki kuu ya ulaya ECB imeafikiana kuendelea kuzifadhili benki za Ugiriki kuambatana na mapatano yaliyopendekezwa ijumaa iliyopita.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Ulaya yakubali kuipa Ugiriki mkopo zaidi
Viongozi wa mataifa ya ukanda unaotumia sarafu ya Euro wamekubaliana kwa pamoja kuipa Ugiriki mkopo wa tatu kunusuru uchumi wake
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Video:Ulaya kuipa Ugiriki mkopo zaidi
Viongozi wa mataifa ya ukanda unaotumia sarafu ya Euro wamekubaliana kwa pamoja kuipa Ugiriki mkopo wa tatu kunusuru uchumi wake
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
EU kuipa Ugiriki mkopo wa dola bilioni 7
Tume ya bara Ulaya imependekeza mkopo wa muda mfupi wa dola bilioni saba nukta saba kwa Ugiriki, huku majadiliano kuhusu madeni ya nchi hiyo yakiendelea.
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Ugiriki yakubali masharti ya wadeni
Wabunge wa Ugriki wamepiga kura kuunga mkono masharti mapya yaliyowekwa na wadeni wa taifa hilo lililo katika hatari ya kufilisika.
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Video:Masharti ya mkopo uliopewa Ugiriki
Ugiriki imepewa masharti makali ambayo sharti iyatimize kabla haijapewa awamu ya tatu ya mkopo wa Euro bilioni 50
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Ulaya na Ugiriki zimetofautiana zaidi
EU yaonya kuwa tofauti iliopo kati ya Ugiriki na wakopeshaji wake wa kimataifa inazidi kuongezeka.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Ulaya kuridhia kuinusuru Ugiriki?
Ugiriki imeomba kupatiwa muda zaidi kudhaminiwa ili kujinusuru kuwa Mufilis
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Viongozi wa Ulaya kuamua hatima ya Ugiriki
Mkutano wa kujadili madeni ya Ugiriki, mjini Brussels, utaamua iwapo Ugiriki itabaki katika umoja wa nchi zinazotumia sarafu ya euro au la
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Uchumi wa Ugiriki bado matatani Ulaya
Ugiriki bado inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya kushindwa kutekeleza masharti na kupata mikopo zaidi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania