IN MEMORY OF EMMANUEL KAGANDA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Jaji Kaganda: Hatukatazi viongozi kumiliki mali
NI jasiri, mwenye uelewa mpana, mwanamama aliyeshika nyadhifa mbalimbali na uongozi bila kutetereka. Namzungumzia Kamishina wa Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji mstaafu, Salome Kaganda, ambaye mara baada ya kuapishwa...
11 years ago
Michuzikamanda suzana kaganda atembelea vikundi vya ulinzi shirikishi mkoani tabora
Na Fakih Abdul wa Police Press Tabora
Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda amefanya ziara katika wilaya ya Sikonge na kukutana na vikundi mbalimbali vya ulinzi shirikishi. Kwanza alikutana na kikundi cha Pathfinder (maarufu kama Maisha Plus ya Tabora) kilichopo katika kijiji cha Tumbili kata ya Tutuo wilaya ya Sikonge na kuwafundisha mbinu mbalimbali za ulinzi shirikishi na dhana ya Polisi jamii kwa ujumla wake, pamoja na kuwapatia mazoezi ya...
10 years ago
GPLAFANDE SUZAN KAGANDA APOKEA ASKARI WAPYA 75 TABORA, ATOA TAARIFA YA UHALIFU MKOANI HUMO
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na Nidhamu ya hali ya juu.  Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea … ...
10 years ago
MichuziAFANDE SUZAN KAGANDA APOKEA ASKARI WAPYA 75 TABORA, ATOA TAARIFA YA UHALIFU MKOANI HUMO
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na Nidhamu ya hali ya juu.
Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa...
Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa...
11 years ago
MichuziKAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI SUZAN KAGANDA ATOA VITENGE 15 NA TSHS. 100,000/= KWA AJILI YA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU WILAYANI KONGWA
Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda ametoa vitenge 15 kwa ajili ya sare ya kikundi cha ngoma cha Kijiji cha Mlanga Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma na kutoa fedha tasilimu Tshs. 100,000/= kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Ametoa vitu hivyo alipotembelea kikundi hicho ambacho pia kinajishughulisha na ulinzi shirikishi kijijini hapo na kuwaambia kuwa swala la maendeleo ni swala mtambuko hivyo amewataka kuweza kujishughulisha...
11 years ago
MichuziKamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii
Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii.
Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa
Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...
11 years ago
Michuziin loving memory
It is now Seven Years since you left us. May the Good Lord
Rest Geraldina Mutalemwa’s soul in eternal piece. Amen.
Geraldina is fondly missed by her children, family and friends.
What moves through us is a silence, a quiet sadness, a longing for one more day, one more word, one more touch, we may not understand why you left this earth so soon, or why you left before we were ready to say good-bye, but little by little, we begin to remember not just that you died, but that you...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania