Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INNOCENT KALOGERIS :VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUICHAFUA NCHI KIMATAIFA RUDI NYUMBANI TUZUNGUMZE


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris amewataka Viongozi wa Vyama vya Upinzani nchini wanaozunguka ughaibuni Nchi mbalimbali wakiiachafua Nchi na Rais Magufuli warudi Nyumbani kwa ajili ya Majadiliano

Ameyasema Hayo wakati wa Hafla ya kuwapokea na kuwakabidhi Kadi rasmi madiwani wawili na wanachama Kadhaa wa Upinzani walioamua kurudi CCM wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu CCM Taifa Dr Bashiru Ally akiwa Morogoro Vijijini hafla imefanyika Ofisi za CCM Mkoa wa Morogoro Mtaa wa Saba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani azuiliwa nyumbani Moz

Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Mozambique Afonso Dhlakama aliwekwa katika kizuizi cha nyumbani siku ya ijumaa

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

10 years ago

Habarileo

JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi

RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.

 

11 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni kugawa waumini'

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk Merry Nagu ameasa viongozi wa dini zote nchini, kutowagawa waumini wao kwa misingi ya vyama vyao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUCTA: Viongozi acheni uchu wa madaraka

VIONGOZI ndani ya serikali wa taasisi mbalimbali wametakiwa kuacha uchu wa madaraka, badala yake wajifunze kwa waasisi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Shirikisho la Vyama...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini acheni kuwatembeza wanasiasa’

Viongozi wa dini wametakiwa kuepuka kutumiwa kama wafanyabiashara wa kuwauza wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, hasa urais.

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani