Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Instagram Party at Jembe Beach Mwanza!

Freconic Ideaz was pleased to organize Quarterly Party Event, which was held on October 4th, 2014 from 7:00 p.m. until 4:00 a.m. at Jembe ni Jembe aka Jembe Beach Mwanza.

The nights includes Live Musical Performances, dancing, meet and greets your fans and followers, etc.

Featured Live performances by:

Wakazi, Ben Paul, Stereo and Songa

Featured music by

Dj Vasley and Dj Dommy

Hosted by

Raheem Da Prince

Instagram is among the types of social network that allows users to share information...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA INSTAGRAM PARTY JEMBE BEACH MWANZA

Instagram Party iliyofanyika Jembe Beach Mwanza usiku wa Oct 4, 2014 na kuhudhuliwa na mashabiki wa Instagram ambapo Wakazi, Ben Paul, Stereo na Songa walifanya onesho kali huku Madi Vasley na Dommy wakifanya vitu vyao.Mashabiki wa Instagram wakipata picha ya pamoja wakati wakiwa kwenye Instgram Party iliyofanyika Jembe Beach Mwanza.Ni ukodak Moment kwa kwenda mbele ndani ya Jembe Beach Mwanza.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya Zari All White Party, leo ni Instagram Party ndani ya Jembe Beach Mwanza Hosted by Wema Sepetu na Idirs Sultan

IMG-20150501-WA0003

Na Modewji blog team

Ikiwa siku moja tu kufanyika kwa party iliyokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na  Zari  the Boss Lady, mchumba wa mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz ‘Chibu Dangote’, Kwa upande wake  mpenzi wa zamani staa huyo, Wema Sepetu Jumamosi ya leo Mei 2, wanafanya bonge la shoo  ijulikanayo kama ‘Instagram Party Mwanza, ndani ya jiji la Mwanza, katika kiota cha Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother...

 

10 years ago

Vijimambo

WEMA SEPETU NA PICHA ZA INSTAGRAM PARTY JEMBE BEACH MWANZA

Picha za Instagram party ya Wema Sepetu iliyofanyika Mwanza.Mambo ya Instagram party ya Wema Sepetu MwanzaPicha kwa hisani ya G Sengo Blog

 

10 years ago

Michuzi

CHEREKO LA USIKU WA SUMAI, BONGE LA PARTY LA SEND OFF LAFANYIKA JEMBE BEACH MWANZA.

Sumai Kazi (with white dress) akiwa na dada ake wakiingia eneo la ukumbi kwa kutumia boat maalum ili kujumuika na ndugu jamaa na marafiki waliofika Jembe Beach kushuhudia Send Of Party yake.Wakishuka kwa kutumia ghati tayari kuingia ukumbini.Sumai (L) akiwa na dadayake (R) sanjari body guard wake. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

SKYMOTO YAWABAMBA WAKAZI WA JIJINI MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH

DSC_0206Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach lililopo Malimbe jijini Mwanza.DSC_0209Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa na wanawe kwa wakazi wa jijini Mwanza waliotinga kwenye hekalu la maraha lililo Malimbe jijini Mwanza Jembe Beach.DSC_0119

 

10 years ago

Bongo5

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja October 25, itafanyika Jembe Beach

Lile tamasha kubwa la Nyama Choma sasa linahamia pande za Mwanza aka Rock City ambako nyama za mbuzi, ng’ombe zitahusika pale kati. Awamu hii wakazi wa Mwanza watakutana kumingle na kupata nyama zilizochomwa kwa ustadi mkubwa na wachomaji mbalimbali kwenye kiota kinachotikisa kwa sasa jijini humo, Jembe Beach kilichopo Malimbe, Nyegezi tarehe 25, October. Jikumbushe […]

 

10 years ago

Dewji Blog

SKY-MOTO yawabamba wakazi wa jijini Mwanza ndani ya Jembe Beach

DSC_0206

Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach lililopo Malimbe jijini Mwanza.

DSC_0209

Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa  na wanawe kwa wakazi wa jijini Mwanza waliotinga kwenye hekalu la maraha lililo Malimbe jijini Mwanza Jembe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanza Ku-Jembeka na Sauti SOL Jumamosi hii Feb 21 ndani ya Jembe Beach

300 x 150m

Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina ‘JEMBEKA’ unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota cha burudani cha kitalii Jembe Beach Mwanza.

Burudani itakayo fungua mpango huo wa ‘JEMBEKA’ ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.

Vijana wa Nyumbani JJ Band...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani