INTRODUCING FURAHA BY AMINI
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Music: Amini – Furaha
![Amini Cover Furaha](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Amini-Cover-Furaha-300x194.jpg)
Msanii wa mziki wa bongo fleva Amini ameachia wimbo mpya unaitwa “Furaha”, Producer C9 Kanjeje kwa mawasilinao ya interview 0718366151.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Michuzi16 Jul
11 years ago
Michuzi08 Mar
11 years ago
CloudsFM20 Jun
New hit: Amini - Asante
Hii ni ngoma nyingine mpya kutoka kwa Amini inatwa Asante imefanyika Njoo studio, ni ngoma nyingine tena ambayo ukiiskiliza utakubaliana namimi kwamba amepiga hatua nyine toka November au December....
10 years ago
Bongo513 Nov
New Music: Amini — Mbeleko
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Amini mzigoni Januari 6
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Amin Mwinyimkuu ‘Amin’ amesema Januari 6 mwakani anaanza kushuti video ya ngoma yake ya ‘Usinipe Robo’...
11 years ago
GPL30 Mar
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Amini kutoka na tano kwa mpigo
NA HERIETH FAUSTINE
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu, amesema alikuwa kimya kwa kuwa alitaka atoe wimbo mpya baada ya kukamilisha nyimbo tano kwa mpigo.
“Nilitaka niwe na nyimbo zangu tano mkononi ndio nianze kuachia wimbo mmoja mmoja, kwa sababu nataka kuandaa muziki mzuri ili ukitoka ufanye vizuri katika soko la muziki la ndani na nje.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lO1nR1WSZXvwcdj99TuuPqxi18MC2wwICQqN7c6Rs1jmUfyu-xLyvbnjg93J25kgBhKSwXWhT6L8jzTJOi16f0xb8TOa5C5-/amini80.jpg)