Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Amini – Furaha

Amini Cover Furaha

Msanii wa mziki wa bongo fleva Amini ameachia wimbo mpya unaitwa “Furaha”, Producer C9 Kanjeje kwa mawasilinao ya interview 0718366151.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo5

New Music: Amini — Mbeleko

Wimbo mpya kutoka kwa msanii aliyekuwa Tht kwa takribani miaka Tisa Amini kwasasa yupo na uongozi mpya wa BME,Wimbo unaitwa “Mbeleko” Studio C9 Records Producer Amyz & C9

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Amini Ft Namcy Vanna — Nabaki Nae

Wimbo mpya kutoka kwa Msanii Amini ameshirikisha Mke wake Farida a.k.a Namcy Vanna wimbo unaitwa “Nabaki Nae” Producer Triss

 

11 years ago

Dewji Blog

New Music: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue

IMG-20140725-WA0006

Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9.

Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha magari...

 

11 years ago

CloudsFM

New hit: Amini - Asante

Hii ni ngoma nyingine mpya kutoka kwa Amini inatwa Asante imefanyika Njoo studio, ni ngoma nyingine tena ambayo ukiiskiliza utakubaliana namimi kwamba amepiga hatua nyine toka November au December....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amini mzigoni Januari 6

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Amin Mwinyimkuu ‘Amin’ amesema Januari 6 mwakani anaanza kushuti video ya ngoma yake ya ‘Usinipe Robo’...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA AMINI AFARIKI JIJINI DAR

Mke wa msanii  wa muziki  Amini, Farida akiwa na mimba. Msanii wa Bongo Flava, Amini. Mke wa msanii  wa muziki  Amini, Farida jana jioni alijifungua kwa operesheni lakini kwa bahati mtoto ambaye kwa bahati mbaya alifariki katika Hospitali ya Sisa Mwananyamala jijini …

 

9 years ago

Mtanzania

Amini kutoka na tano kwa mpigo

Amini2NA HERIETH FAUSTINE

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu, amesema alikuwa kimya kwa kuwa alitaka atoe wimbo mpya baada ya kukamilisha nyimbo tano kwa mpigo.

“Nilitaka niwe na nyimbo zangu tano mkononi ndio nianze kuachia wimbo mmoja mmoja, kwa sababu nataka kuandaa muziki mzuri ili ukitoka ufanye vizuri katika soko la muziki la ndani na nje.

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani