Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Amini Ft Namcy Vanna — Nabaki Nae

Wimbo mpya kutoka kwa Msanii Amini ameshirikisha Mke wake Farida a.k.a Namcy Vanna wimbo unaitwa “Nabaki Nae” Producer Triss

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Mwasiti Ft Queen Darleen – Sema Nae

artist_121bcd964eb23c68f2bb90d5a45f4df6130.jpg

Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen. Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Amini – Furaha

Amini Cover Furaha

Msanii wa mziki wa bongo fleva Amini ameachia wimbo mpya unaitwa “Furaha”, Producer C9 Kanjeje kwa mawasilinao ya interview 0718366151.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Amini — Mbeleko

Wimbo mpya kutoka kwa msanii aliyekuwa Tht kwa takribani miaka Tisa Amini kwasasa yupo na uongozi mpya wa BME,Wimbo unaitwa “Mbeleko” Studio C9 Records Producer Amyz & C9

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ FT KHADIJA KOPA MASEMA NAE {OFFICIAL MUSIC VIDEO}

Jionee mwenyewe yaliyo ndani ya video hii kiroho safi jitiririshe uone vitaulo walivyo piga kazi toba.

 

11 years ago

Dewji Blog

New Music: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue

IMG-20140725-WA0006

Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9.

Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha magari...

 

10 years ago

Michuzi

Ofa Kabambe from Nabaki Afrika


We are moving into the busy season of the construction industry and we are fully stocked with our quality products. Special deals are available on some premium products.
Decra stone coated metal roof tiles start at a price of TZS 16 450 per tile for the Smooth profile. Fortiza roof tiles start at TZS 14 950 per tile.
Remember that on some roof tile sales you can get a free Ariston water heater, just ask our sales people for details. Until the end of the year we are offering an extra 5%...

 

11 years ago

Michuzi

NABAKI AFRIKA MABINGWA VIFAA VYA UJENZI

20140806_050949Meneja wa kampuni ya Nabaki Afrika tawi la Arusha Jesse S. Madauda akiongea na wateja waliotembelea katika  banda lao viwanja vya nane nane jijini Arusha.20140806_051639Hii ni Plumbing System ni kwaajili ya mfumo wa maji taka na safi na sifa yake kuu nikwamba huwezi kuona chemba zile za nje na haizibi20140806_050615Vigae vya kuezeka (Decra Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 50
Kampuni ya Nabaki Afrika ni kampuni pekee isiyo na mshindani katika ubora wa ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA NABAKI AFRIKA WAFUNGUA TAWI KUBWA JIJINI ARUSHA

SAM_0100Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Nabaki Afrika Hamish Hamilton akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi rasmi wa tawi kubwa la Arusha uliofanyika hivi karibuniSAM_0113
msimamizi mkuu wa tawi hilo Jesse Madauda akiongea na wanahabari juu ya ufunguzi huo wa tawi kubwa la kamapuni ya Nabaki Afrika tukio lililofanyika hivi karibuniSAM_0109
Kulia niTania Hamilton akiwa na mumewe mwenyekiti wa kampuni Nabaki Afrika Hamish HamiltonSAM_0128
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Nabaki Afrika Hamish...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani