Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL yajitosa kusaidia vijana kiuchumi

>Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza utekelezaji wa mpango wake wa kuwezesha miradi mbalimbali kwa vijana wa Kitanzania kuimarika kiuchumi  ikiwa na lengo la kukuza maendeleo ya uchumi nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

IPTL kusaidia miradi ya kuwawezesha vijana kiuchumi

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Bw. Harbinder Signh Sethi (kushoto) na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa kampuni hiyo Bw. Joseph Makandege (wapili kushoto) wakikabidhi hundi ya shilingi milioni 11 kwa mwakilishi wa Kanisa la Mt. Rita Wakashia lililopo Kimara jijini Dar es Salaam, George Kashushura. Fedha hizo zitatumika kuanzisha SACCOS ya kanisa hilo, lenye lengo la kuwainua vijana kiuchumi. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL kusaidia miradi ya kuwawezesha vijana

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza utekelezaji wa mpango wake wa kuiwezesha miradi mbalimbali inayowawezesha vijana wa Kitanzania kuimarika kiuchumi, ikiwa na lengo la kukuza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA kuendelea kusaidia miradi ya kijamii, kiuchumi

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limethibitisha kuwa litaendelea kusaidia miradi ya uwezeshaji ya kiuchumi nchini, ili kusaidia kuinua ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL yatoa shilingi milioni 14.5 kusaidia ujenzi wa Kanisa la Mtakatifu Petro

 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) Bw. Harbinder Singh Sethi (wa pili kulia) akimwonyesha kitu Fadha Gerald Kamina (wa pili kushoto) mara baada ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni 14.5 kama msaada kwa jumuiya ya Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam, kusaidia ujenzi wa kanisa hilo. Kushoto ni Bi. Rose Rupia, Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Kanisa hilo na kulia ni Rajiv Bhesania, msaidizi wa Mwenyekiti...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL yatoa Tsh milioni 20 kwa RT kusaidia maandalizi ya mashindano ya riadha ya kitaifa

 Makamu wa Rais-Utawala wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe (wapili kushoto) akipokea sehemu ya fedha taslim Tsh milioni 20 zilizotolewa na kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kusaidia maandalizi ya mashindano ya mwaka huu ya Riadha ya Kitaifa yatakayoanza leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaaam. Kulia ni Katibu na Mwanasheria Mkuu wa IPTL/ Pan African Power Solutions (PAP), Bw. Joseph Makandege, akifuatiwa na Msaidizi wa kampuni...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WAHAMASISHWA UFUGAJI WA KUKU, KUJIKWAMUA KIUCHUMI


Na. Edward Kondela
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewapa vifaranga vya kuku 540 kikundi cha vijana wajasiriamali ili kuhamasisha ufugaji utakaosaidia kuziba pengo la uhaba wa nyama ifikapo mwaka 2022 pamoja na kukuza sekta ya kuku nchini.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo na Usalama wa Chakula na Lishe wa wizara hiyo, Bw. Gabriel Bura amekabidhi vifaranga hivyo mwishoni mwa wiki kwa wawakilishi wa kikundi cha vijana watatu wajasiriamali hafla ilifanyika Mbweni jijini Dar es Salaam....

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazidi kuwawezesha vijana kiuchumi

Ofisa wa Benki ya NBC kitengo cha ATM, Pendo Clement (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa ​ ​Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto Chuo cha Ufundi Stadi cha Future World, kuhusu masuala mbalimbali ya kimaisha ikiwa ni sehemu ya mradi mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam wa kuendeleza vijana kiuchumi Dar es Salaam unaodhaminiwa na benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Gongo la Mboto nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. M ​eneja wa ATM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani