Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iraq;kiwanda kikuu cha mafuta chatekwa

Waasi wa dhehebu la waislamu wa Kisunni nchini Iraq wameripotiwa kuchukua uthibiti wa kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kiwanda cha mabomu chatekwa Nigeria.

Jeshi la Nigeria limesema kuwa limegundua kiwanda cha kutengeneza mabomu cha wanamgambo wa Boko Haram katika mji wa Buni Yadi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wavamia kituo cha mafuta Iraq

Wapiganaji wa madhehebu ya Sunni wamekishambulia kituo kikubwa mno cha usafishaji mafuta katika mji wa Baiji, Kaskazini mwa Iraq

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI ARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MAGID – KONDOA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akitoa maelekezo ya ufuatiliaji kwa Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Kanda ya Kati Bw. Revocatus Rasheli wakati wa ziara ya kukagua kiwanda hicho cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha MAGIN Ltd Kilichopo Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma iliyofanyika Mei 21, 2020. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akitoa majumuisho wakati akihitimisha ziara yake leo Mei 21, 2020...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA KUKAMUA MAFUTA YA UFUTA CHA TAKEMOTO, NAGOYA JAPAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mkewe Mama Asha Bilal, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona (wa pili kushoto) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakiongozana wakati walipokuwa wakielekea kutembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya Ufuta cha Takemoto kilichopo Nagoya nje kidogo ya Jiji la Tokyo Japan, jana Mei 22, 2014, akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini Japan. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA ALIZETI SINGIDA

Baadhi ya wakulima wanaoleta alizeti kiwandani hapo wakisubiri huduma ya kukamua mafuta kiwandani hapo. Takribani asilimia 80 ya wakulima wanaoleta alizeti kiwandani hapo wanataka kukamua mafuta ambapo kiwanda kinawalipisha gharama ya kukamua lakini wao wanaondoka na mafuta yao. Jumla ya wakulima 500 wanaleta alizeti kiwandani hapo. Mkurugezi Mkuu wa Kiwanda cha kukamua mafuta cha Singida Fresh Oil Mills Khalid Omary (mwenye kanzu) akimwonesha Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya...

 

9 years ago

Vijimambo

DC PAUL MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA GEREJI YA WACHINA NA KIWANDA CHA MAFUTA NA SABUNI,

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Gereji ya Spring City Enterprises inayomilikiwa na raia wa China iliyopo Mikocheni B Mlalakuwa  Barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam leo, alipofika kusikiliza malalamiko yao mbalimbali yakiwemo ya kutokuwa na mikataba ya kazi licha ya kuwa kazini kwa zaidi ya miaka saba. Makonda akiangalia kitambulisho dhaifu wanavyotumia wafanyakazi hao ambacho hakiwezi kutumimika kumuwekea mtu dhamana na shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA JAPAN ASAINI MKATABA WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA KUKAMULIA MAFUTA YA ALIZETI WILAYANI CHATO.

BALOZI wa Japan nchini Masaki Okada leo ametiliana saini na halmashauri ya wilaya ya chato mkoani geita ujenzi wa kiwanda cha kukamulia mafuta ya alizeti kitakachojengwa wilayani chato mkoani geita.Akizungumza katika hafla hiyo balozi Okada amesema serikali ya japan imeamua kutoa msaada wa dola za Marekani 95,124 sawa na shilingi milioni 165 za Tanzania kugharamia mradi huo.“Mradi huu ni wa kipekee katika miradi toka mfoko wa grant assistance for grassroots human security projects GGHSP...

 

10 years ago

Michuzi

BG TANZANIA KUZINDUA UDHAMINI WA SHAHADA YA UZAMILI YA SAYANSI YA MAFUTA NA GESI - CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

BG Tanzania imetangaza  kutoa udhamini kwa wanafunzi 13 wa shahada ya uzamili  ya sayansi ya mafuta na gesi (MSc. in Petroleum Geology) itakayotolewa katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Idara ya  Jiolojia  kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Udhamini huu utahusisha malipo ya gharama za ada,  vitabu, pesa ya kijikimu na utafiti kwa muda wa miezi 18.
Katika hafla ya  uzinduzi huu, Mgeni rasimi alikuwa  Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.  Mizengo Kayanza Pinda. Wageni wengine walio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani