Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapiganaji wavamia kituo cha mafuta Iraq

Wapiganaji wa madhehebu ya Sunni wamekishambulia kituo kikubwa mno cha usafishaji mafuta katika mji wa Baiji, Kaskazini mwa Iraq

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wananchi wavamia kituo cha polisi

POLISI wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamelazimika kutumia mabomu na risasi za moto ili kuwanusuru askari wawili wasiuawe baada ya kuzuka ugomvi kati ya askari polisi wa Kituo cha Lukumbule na wananchi wa vijiji vya Lukumbule na Mchesi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Iraq;kiwanda kikuu cha mafuta chatekwa

Waasi wa dhehebu la waislamu wa Kisunni nchini Iraq wameripotiwa kuchukua uthibiti wa kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wavamia kituo cha kukusanya matokeo Ukawa

Polisi jijini hapa jana usiku walivamia kituo cha kukusanya matokeo ya nchi nzima cha Chadema kilichopo Kijitonyama na kuwakamata watu wote wanaokiendesha.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari

Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada. 
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Ndipo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA YA PANONE YAWAKUMBUKA WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA GABRIELA CHA MJINI MOSHI

Wafanyakazi wa kampuni ya Mafuta ya Panone wakiwa katika picha ya Pamoja na watoto wanao lelewa katika kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.Afisa uhusiano wa timu ya soka ya Panone fc Kassmi Mwinyi akitoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Meneja Masoko wa Kampuni ya Panone Frank Mwaikatale akigawa zawadi ya mikate kwa watoto wanaolelewa katika  kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wavamia bunge Libya

Watu waliokuwa wamejihami walivamia majengo ya bunge nchini Libya na kulazimisha wabunge kusitisha shughuli ya kumteua waziri mkuu mpya.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR

Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza machache. Walioko mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

Charles James, Michuzi TV.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani