Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wavamia kituo cha kukusanya matokeo Ukawa

Polisi jijini hapa jana usiku walivamia kituo cha kukusanya matokeo ya nchi nzima cha Chadema kilichopo Kijitonyama na kuwakamata watu wote wanaokiendesha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wananchi wavamia kituo cha polisi

POLISI wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamelazimika kutumia mabomu na risasi za moto ili kuwanusuru askari wawili wasiuawe baada ya kuzuka ugomvi kati ya askari polisi wa Kituo cha Lukumbule na wananchi wa vijiji vya Lukumbule na Mchesi.

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari

Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada. 
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Ndipo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

CloudsFM

Majambazi wavamia kituo, waua polisi wawili

ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na majambazi, waliovamia kituo hicho na kuiba silaha baada ya kufanikisha mauaji.
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi liko katika msako mkali, huku Mkuu wa jeshi hilo, IGP, Ernest Mangu akitangaza donge nono la Sh milioni 20 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo na silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu kutoka eneo la...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wavamia kituo cha mafuta Iraq

Wapiganaji wa madhehebu ya Sunni wamekishambulia kituo kikubwa mno cha usafishaji mafuta katika mji wa Baiji, Kaskazini mwa Iraq

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe.

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo nilichopiga kura mimi. Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. Kituo namba 1. Kura za Maalim Seif ni 317 na za Dk Shein ni 5. Kituo namba […]

The post BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wavamia Chama cha Wanajeshi Myanmar

Polisi na wanajeshi wa Myanmar wamevamia makao makuu ya chama kinachoungwa mkono na jeshi cha Nay-Pyi-daw

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani