Israel hamkani si shwari
Mwanamke mmoja mwenye asili ya Israel ameshambuliwa kwa kisu na kusababisha kifo chake katika eneo la West Bank.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Sudan Kusini hamkani si shwari
Dokta Riek Machar, ameapa kuwa Rais Kiir asipojiuzulu ,ataanzisha harakati za kupindua Serikali yake.
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Durban wageni! hamkani si shwari.
Afrika Kusini inakumbwa na wakati mgumu kutokana na kukithiri kwa visa vya mashambulizi dhidi ya wahamiaji na wageni wa Kiafrika
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Je, hamkani hali si shwari Ukawa?
Mjadala wa kugawana majimbo na kusimamisha mgombea urais ndani ya Ukawa, umekuwa kimya kutokana na harakati za upande wa pili wa wagombea wa urais kwa tiketi ya CCM kuchukua nafasi ya mjadala mpana mitaani.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
KUTOKA ZANZIBAR: Tukubali, hamkani si shwari
>Gwiji wa riwaya duniani, Chinua Achebe (marehemu) katika kitabu chake cha ‘Things Fall Apart’( Hamkani si shwari tena) ambacho alikitunga mwaka 1958 alizungumzia matatizo yaliyotokana na ukoloni katika Bara la Afrika.
11 years ago
BBCSwahili14 Aug
Ukraine hamkani si shwari,mjini Donetsk
Donetsk mashariki mwa Ukraine,hamkani si shwari na kugharimu maisha ya mtu mmoja na kusababisha majeruhi kadhaa.
10 years ago
Habarileo27 Dec
Dar shwari Krismasi
HALI ya usalama katika jiji la Dar es Salaam imeelezwa kuwa shwari katika sikukuu ya Krismasi huku ulinzi ukiimarishwa zaidi kuelekea mwisho wa mwaka.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Hali si shwari Simba
Wakati kocha Mserbia Goran Kopunovic anayetajiwa kuwasili leo kuchukua nafasi ya Patrick Phiri, wachezaji Simon Sserunkuma, Joseph Owino na Juuko Murshid wameikacha Simba na kurudi kwao Uganda.
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Yemen bado si shwari
Muda mfupi baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa usiku wa kuamkia leo, kumezuka mapigano kusini mwa Yemen.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania