Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Israel imesema imeyashambulia maeneo ya Islamic State katika Gaza na Syria

Jeshi la Israeli inasema imefanya mashambulio ili kujibu mashambulio ya roketi kutoka Gaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Islamic State 'yadhibiti' Palmyra, Syria

Wanamgambo wa Islamic State wamechukuwa uthibiti wa karibu mji wote wa Palmyra, ulio na kivutuo kikubwa zaidi cha mahame ya kale.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yashambulia Islamic State Syria

Ndege za kijeshi za Uingereza zimetekeleza mashambulio ya angani dhidi ya kundi la Islamic State nchini Syria saa chache baada ya bunge kuidhinisha mashambulio hayo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kundi la Islamic state lateka vijiji Syria

Kundi la Islamic State nchini Syria limeteka vijiji kadhaa kutoka katika makundi hasimu ya wapiganaji kaskazini mwa mji wa Aleppo.

 

5 years ago

BBCSwahili

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Israel waondoka Gaza

Serikali ya Israel imetangaza kuondoa wanajeshi wake wote katika maeneo wanakotekelezea mashambulizi nje ya ukanda wa Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yaendeleza mashambulizi Gaza

Wapalestina 9 wameuawa na Israel wakitizama mchuano wa kombe la Dunia, ndani ya mgahawa mmoja katika mji wa Khan Yunis huko Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yaanza kushambulia Gaza

Israel imeanza kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya Gaza baada ya siku tatu ya makubaliano ya kusitisha vita ukanda wa Gaza

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Mwanajeshi wa Israel aliuawa

Jeshi la Israel limesema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ambaye aliaminika kutekwa na wapiganaji wa kipalestina ameuawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yazidi kuishambulia Gaza

Wapalestina zaidi ya 200 wauawa katika mashambulio zaidi ya Israel dhidi ya Gaza,mapendekezo ya kusitisha mapigano yakitibuka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani