Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jackie Chain asema mwanae aliyekamatwa na dawa za kulevya China amemuaibisha sana

Kama mzazi, mwanao anapojihusisha katika kitendo cha aibu ni lazima hata wewe mwenyewe utajiskia aibu, ndivyo anavyojiskia muigizaji wa filamu za Hollywood, Jackie Chan baada ya mtoto wake wa kiume kukamatwa na dawa za kulevya. Baba na mwana Jacky Chan amesema mwanae aitwaye Jaycee amemuaibisha sana yeye na familia nzima hasa mama yake, baada ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOTO WA JACKIE CHAN ASHITAKIWA KWA DAWA ZA KULEVYA

Jackie Chan akiwa katika pozi na mwanaye Jaycee Chan (kulia). MTOTO wa staa wa filamu nchini Marekani, Jackie Chan, Jaycee Chan (32), ameshtakiwa kwa kosa la kuwakingia kifua watumia madawa ya kulevya nchini China. Jaycee Chan.…

 

10 years ago

Bongo5

Nzowa asema dawa za kulevya alizokamatwa nazo Chid Benz ni Heroine

Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa amesema dawa za kulevya alizokamatwa nazo rapper Rashidi Abdallah Makwiro a.k.a Chidi Benz katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Ijumaa iliyopita (Oct. 24) ni aina ya Heroine. “Alikuwa na dawa Heroine kete 14″, amethibitisha Nzowa kupitia 255 ya […]

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Hussein Machozi asema ameng’atuka kwenye muziki kukwepa vishawishi vya kutumia dawa za kulevya

machozi-2

Hussein Machozi ambaye hapo jana ametangaza kuachana na muziki amesema kuwa kuna wasanii wengi ambao hujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutoka na stress.

machozi-2

Stress anazozizungumzia Hussein ni pamoja na kushindwa kufanya vizuri kwenye muziki kama ilivyomtokea yeye, na pia maneno ya watu wanaowasema vibaya wasanii wanaoamua kuachana na muziki kuwa wamefulia.

“Ngoja leo niwaeleze jambo watanzania unajua kuambiwa umefulia inaumiza sana, hivyo kuna kundi kubwa la wasanii wameingia katika...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK ADAIWA KUNASWA NA PIPI 66 ZA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA MIL 215.5 CHINA

Mrembo anayedaiwa kuwa Jack Patrick (akiwa amefunikwa uso) mikononi mwa polisi nchini China baada ya kukutwa na pipi 66 za heroin tumboni. Mwanamitindo Jack Patrick.…

 

5 years ago

CCM Blog

CHID BENZ AKEMEA WANAOFANYA MZAHA MITANDAONI KUHUSU UGONJWA WA CORONA, ASEMA AMEACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA, ANAJIANDAA KURUDI KWENYE 'GEMU'

Msanii wa muziki wa Bongofleva Rashid Abdallah (Chid Benz) akimweleza jambo Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza, katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo jijini Dodoma. Chid amemweleza Naibu Waziri kuwa wiki ijayo anatarajia kutoa video ya wimbo wake wa Beautiful na pia atatunga wimbo kuhusu virusi vya ugonjwa wa Corona.




Na Anitha Jonas – WHUSM
Mwanamuziki ambaye ni miongoni mwa wanamuziki waasisi wa muziki wa Bongofleva hapa nchini, Rashid Abdallah (Chid...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani