Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaja aanza kazi Yanga, afanya balaa mazoezini

Straika mpya Yanga, Mbrazili, Genilson Santana Santos ‘Jaja’, Na Sweetbert Lukonge
STRAIKA mpya Yanga, Mbrazili, Genilson Santana Santos ‘Jaja’, tayari ameanza kuonyesha makeke yake baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu katika mazoezi ya timu hiyo yaliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sokondari Loyola, Mabibo, jijini Dar es Salaam, jana. Jaja, tangu atue hapa nchini Jumanne iliyopita...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Jaja amvaa Coutinho mazoezini

Mshambuliaji wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Goodluck Ngai na Said Ally
WACHEZAJI wa timu ya Yanga, mshambuliaji Genilson Santana Santos ‘Jaja’ na kiungo Andrey Coutinho mwishoni mwa wiki iliyopita walijikuta wakiwa kwenye wakati wa kutoelewana baada ya mmoja kutegea.
Jaja na Coutinho ni wachezaji waliotua kuitumikia Yanga wakitokea nchini Brazil. Katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja...

 

10 years ago

Mtanzania

Jaja aanza kuonyesha makali Pemba

Santos Santana ‘Jaja’

Mchezaji wa Yanga Geilson Santos Santana ‘Jaja’ akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa yanga, Beno Njovu, jana baada ya kusaini kuichezea timu hiyo kwa miaka miwili.

NA HUSSEIN OMARI, PEMBA

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Mbrazil Geilson Santana ‘Jaja’, jana ameanza kuonyesha makali yake baada ya kuifungia timu yake bao, katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chipukizi, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Gombani, Chakechake Pemba.

Mchezaji huyo amejiunga na Yanga mwezi...

 

10 years ago

GPL

Kisiga atua mazoezini, afanya kikao na kocha

Kiungo wa Simba Shabani Kisiga.
Na Omary Mdose, Saphyna Mlawa na Said Ally
KIUNGO wa Simba ambaye alijiondoa kwenye kikosi hicho kwa madai ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo ya ndani ya klabu hiyo, Shabani Kisiga jana jioni alitinga kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Dege Beach, Mbweni jijini Dar. Championi lilimshuhudia Kisiga aliyekuwa amevalia mavazi ya kiraia akitinga mazoezini hapo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Babi aibukia mazoezini Yanga SC

>Kiungo wa zamani wa Yanga, Abdi Kassim ‘Babi’ ameibukia kwenye mazoezi ya timu hiyo jana yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

KASI YA RC KILIMANJARO NI BALAA, AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA

Na Mwandishi Wetu, Moshi.MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja aipaisha Yanga

Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0  kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”

Pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Pix 2

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani