Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kisiga atua mazoezini, afanya kikao na kocha

Kiungo wa Simba Shabani Kisiga.
Na Omary Mdose, Saphyna Mlawa na Said Ally
KIUNGO wa Simba ambaye alijiondoa kwenye kikosi hicho kwa madai ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo ya ndani ya klabu hiyo, Shabani Kisiga jana jioni alitinga kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Dege Beach, Mbweni jijini Dar. Championi lilimshuhudia Kisiga aliyekuwa amevalia mavazi ya kiraia akitinga mazoezini hapo na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Kisiga arudishwa Simba, afukuzwa mazoezini

Kiungo wa Simba, Shaban Kisiga. Said Ally na Ibrahim Mussa
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umeamua kumrudisha kiungo wake, Shaban Kisiga katika kikosi cha timu hiyo baada ya kumsimamisha kwa muda, kisa kikiwa ni utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango katika michezo iliyopita ya ligi kuu. Kiungo huyo mkongwe ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar, alirejea katika kikosi cha timu hiyo jana (Jumanne) ambacho kilikuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam janaBondia Jumaa Rashid akioneshana ubavu na Juma Biglee wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa shule ya uhuru uwanja wa basket yaliyokuwa yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam janaBondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata...

 

11 years ago

GPL

Jaja aanza kazi Yanga, afanya balaa mazoezini

Straika mpya Yanga, Mbrazili, Genilson Santana Santos ‘Jaja’, Na Sweetbert Lukonge
STRAIKA mpya Yanga, Mbrazili, Genilson Santana Santos ‘Jaja’, tayari ameanza kuonyesha makeke yake baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu katika mazoezi ya timu hiyo yaliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sokondari Loyola, Mabibo, jijini Dar es Salaam, jana. Jaja, tangu atue hapa nchini Jumanne iliyopita...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mzungu atua Majimaji

Dar es Salaam. Klabu ya Majimaji ya Songea imejiunga na klabu nyingine za Ligi Kuu kuajiri kocha kutoka nje ya Afrika.

 

11 years ago

GPL

Kocha atua Yanga amfuta Kaseja

Kipa ya Yanga, Juma Kaseja. Lucy Mgina na Khadija Mngwai MABADILIKO yanaendelea kutokea ndani ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga kwani tayari imepata kocha mpya wa makipa ambaye hata kabla ya kuanza kazi, ametangaza kumfuta kipa Juma Kaseja kama kipa namba moja. Kaseja alipewa nafasi hiyo katika mechi yake ya kwanza akiwa amerudi Yanga na kufungwa mabao matatu wakati Yanga ilipolala kwa mabao 3-1 dhidi ya Simba...

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba , Goran Kopunovic alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Hungary.…

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri. Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa…

 

10 years ago

Michuzi

Mwijage afanya kikao na wakandarasi wa miradi ya REA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amekutana na Mameneja Tanesco wa mikoa na wilaya katika Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA ya usambazaji umeme vijijini, Awamu ya pili katika kanda hiyo ili kujadili utekelezaji wa miradi hiyo ya umeme.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (kulia) akizungumza na Mameneja Tanesco wa mikoa na wilaya katika Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dj wa kike kutoka Nigeria, maarufu ‘DJ Cuppy’ atua nchini afanya shughuli za kijamii

cuppy16                                                                                       DJ Cuppy katika moja ya kazi zake..

Na Andrew Chale, modewjiblog (Dar es Salaam).  Uenda ukapata maswali juu ya fani hii ya mukizi ambayo katika uwepo wake nafasi ya Udj  ni miongoni mwa vitu vikubwa vinavyobeba ukuaji wa muziki hasa kwa msanii husika pindi awapo jukwaani ama katika shughuli zake za Sanaa.  Katika hilo tumeendelea kushuhidia uwepo wa madj wakubwa wengi wao wakiwa ni jinsia ya kiume huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani