Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaja Vs Zahir ni shiida, Maximo awaamua mara 3

Beki Rajab Zahir (kulia) dhidi ya Genilson Santos ‘Jaja’ (kushoto), wamekuwa na kazi ya ziada mazoezini. Richard Bukos na Sweetbert Lukonge
KWELI Yanga imepania kufanya kweli, kila mchezaji anataka kuonyesha uwezo wa juu, lakini ushindani huo umesababisha upinzani kuwa mkali kwa wachezaji wa timu hiyo, beki Rajab Zahir dhidi ya Genilson Santos ‘Jaja’, ambapo wamekuwa na kazi ya ziada...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Maximo amkingia kifua Jaja

Marcio Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amemkingia kifua mchezaji wake, Mbrazil Genilson Santos ‘Jaja’ kwa kuwataka mashabiki wasitegemee vitu vingi kutoka kwa wachezaji warefu kwani wana vitu vichache vyenye mafanikio.

Maximo aliyasema hayo juzi baada ya mechi yao ya kirafiki dhidi ya Thika United ya nchini Kenya iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lilofungwa na Jaja,...

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo atetea uwezo wa Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesisitiza kuwa mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’ ana umuhimu kwa timu hiyo na kama kuna shabiki ana mashaka asubiri ligi itakapoanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaongezea ‘sumu’ Jaja, Tegete

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewapa mbinu mpya washambuliaji wake Genilson Santana Jaja na Jeryson Tegete kwa lengo la kuwawezesha nyota hao kutoa mchango unaohitajika kwenye kikosi cha timu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja ‘out’ Yanga, Maximo aleta nyota mwingine

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ameondolewa katika kikosi cha timu hiyo na nafasi yake itazibwa na kiungo mkabaji pia raia wa Brazil, Emerson Oliveira Neves Roque.

 

10 years ago

GPL

Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YA MAXIMO YACHARAZWA 2-0 NA MTIBWA SUGAR JAMHURI…JAJA AKOSA PENALTI

Na Baraka Mpenja
MBRAZIL Marcio Maximo amepoteza mechi yake ya kwanza akiiongoza Yanga baada ya kukubali kipigo ‘swaafi’ kabisa cha mabao 2-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar, uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro jioni hii.Katika mechi hiyo ya kukata na shoka, Mbrazil mwingine, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ naye ameweka rekodi ya kukosa mkwaju wa kwanza wa penalti akiichezea Yanga katika mechi yake ya kwanza ya ligi kuu.
Mabingwa hao wa 1999 na 2000 wakiongozwa na mwanafunzi wa zamani wa Maximo, Mecky...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAMFUKUZISHA MAXIMO JANGWANI MARA BAADA YA KUWAPA KIPIGO CHA MAGOLI 2 KWA 0 YANGA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,Baada ya kuchapwa mabao 2-0 na mahasimu wao wa soka Simba SC katika mchezo wa ‘ Hisani Nani Mtani Jembe’ siku ya Jumamosi iliyopita, klabu ya Yanga SC imeamua kufikia maamuzi magumu ya kumfuta kazi kocha Marcio Maximo na ni wazi Mholanzi, Hans Van De Pluijm atachukua nafasi hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Yanga kumfukuza kazi kocha wao mara baada ya kufungwa na Simba. Ikumbukwe mwaka uliopita, Mholanzi, Ernie Brandts aliondoshwa baada ya kufungwa mabao 3-1...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani