Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji amtaka Wakili asipoteze muda

JAJI wa Mahakama Kuu, Jaji Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya kughushi nyaraka na kutakatisha fedha inayomkabili Wakili maarufu Median Mwale na wenzake watatu, amemtaka Wakili wa Serikali, Pius Hilla kumwelekeza shahidi wa kesi hiyo kitu gani alichunguza badala ya kumuuliza kozi alizohudhuria kwani zinapoteza muda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Jaji amwonya wakili kesi ya Mwalle

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu, amemwonya na kumtaka Wakili wa Jamhuri, Pius Hilla, amuulize shahidi wake kuhusu kesi iliyopo mahakamani na si kuuliza juu ya mafunzo.

Jaji Mjemas alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati akisikiliza ushahidi wa shahidi wa pili wa Jamhuri, Suleiman Nyakulinga, katika kesi inayoendelea kusikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jaji na wakili wapigwa risasi Italy

Jaji mmoja na wakili ni miongoni mwa watu waliouawa baada ya mshukiwa mmoja kuwafyatulia risasi ndani ya mahakama mjini Milan

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Msengi Kusikiliza kesi ya Wakili Mwale

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

KESI ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha mbele ya Jaji Fatuma Masengi.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mwishoni mwa wiki baada ya Jamhuri kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Oswald Tibabyekomya, kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali ya mashtaka 42 yanayowakabili.
Tibabyekomya alidai washtakiwa wote walikubali majina yao kuwa Median Mwale, Don...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News! Askofu Gwajima ‘aidindia’ jeshi la Polisi waliomfuata kumchukua nyumbani kwake SalaSala, ajisalimisha na Wakili wake muda huu kwa Kamanda Kova

maaskofu wenzake

Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Gwajima na maaskofu rafiki wa makanisa ya Pentekoste wakiongea na Gwajima (Hayupo pichani) ambaye alikuwa akiwapa maelekezo kabla ya kuondoka kwenda kuhojiwa jeshi la Polisi mchana wa leo.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima  mapema leo ameibua hofu kubwa  kwa majirani  na waumini wake waliokuwa wametanda nje ya nyumba yake baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kwake kwa lengo la kumchukua kwenda Polisi Centro...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani