Jaji na wakili wapigwa risasi Italy
Jaji mmoja na wakili ni miongoni mwa watu waliouawa baada ya mshukiwa mmoja kuwafyatulia risasi ndani ya mahakama mjini Milan
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Wachezaji 5 wapigwa risasi Nigeria
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Wawindaji wapigwa risasi Selous
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Wafungwa wapigwa risasi mahakamani AK
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Watu 5 wapigwa risasi na kuuawa Burundi
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Watu ishirini wapigwa risasi Marekani
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Weusi 2 wapigwa risasi na kuawa Chicago
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Weusi 2 wapigwa risasi Ferguson,Marekani
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Jaji amwonya wakili kesi ya Mwalle
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu, amemwonya na kumtaka Wakili wa Jamhuri, Pius Hilla, amuulize shahidi wake kuhusu kesi iliyopo mahakamani na si kuuliza juu ya mafunzo.
Jaji Mjemas alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati akisikiliza ushahidi wa shahidi wa pili wa Jamhuri, Suleiman Nyakulinga, katika kesi inayoendelea kusikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania,...
9 years ago
Habarileo14 Dec
Jaji amtaka Wakili asipoteze muda
JAJI wa Mahakama Kuu, Jaji Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya kughushi nyaraka na kutakatisha fedha inayomkabili Wakili maarufu Median Mwale na wenzake watatu, amemtaka Wakili wa Serikali, Pius Hilla kumwelekeza shahidi wa kesi hiyo kitu gani alichunguza badala ya kumuuliza kozi alizohudhuria kwani zinapoteza muda.