Watu ishirini wapigwa risasi Marekani
Watu ishirini wamepigwa risasi na mtu mmoja mwenye silaha katika mji wa San Bernardino mashariki mwa Los Angeles.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Weusi 2 wapigwa risasi Ferguson,Marekani
Watu 2 weusi walipigwa risasi na polisi katika maandamano ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kuuawa kwa mvulana mweusi huko Ferguson, Missouri
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Watu 5 wapigwa risasi na kuuawa Burundi
Vijana watano wamepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Watu 16 waumia ufyatuaji wa risasi Marekani
Watu 16 wamejeruhiwa kwenye ufyatuaji wa risasi katika bustani moja mjini New Orleans, polisi wamesema.
9 years ago
Bongo502 Oct
Picha: Watu 9 wauawa kwa kupigwa risasi kwenye chuo nchini Marekani
Watu 9 wameuwa na wengine saba kujeruhiwa kufuatia mauaji kwa kutumia bunduki yaliyotokea kwenye chuo kilichopo kwenye jimbo la Oregon, Marekani. Muuaji mwenye umri wa miaka 26 alifyatua risasi kwenye chuo cha Umpqua jana asubuhi kwa saa za Marekani na yeye kuuawa na polisi. Polisi wamedai kuwa jina la mtu huyo ni Chris Harper Mercer. […]
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
watu ishirini wafariki dunia Nigeria
Watu ishirini wamefariki dunia kutokana na shambulio la kujitoa muhanga katika soko la wachuuzi wa samaki,Nigeria.
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Wachezaji 5 wapigwa risasi Nigeria
Wachezaji 5 wa kilabu ya Kano Pillars , Nigeria walipigwa risasi na wapiganaji katika shambulizi lillolenga msafara wa kilabu hiyo
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Wafungwa wapigwa risasi mahakamani AK
Wafungwa wawili wamepigwa risasi walipokuwa wakijaribu kutoroka kutoka katika mahakama moja nchini Afrika Kusini.
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Wawindaji wapigwa risasi Selous
Watu wawili wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kupigwa risasi na askari wa wanyamapori wa Pori la Akiba la Selous.
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Jaji na wakili wapigwa risasi Italy
Jaji mmoja na wakili ni miongoni mwa watu waliouawa baada ya mshukiwa mmoja kuwafyatulia risasi ndani ya mahakama mjini Milan
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania