JAJI BOMANI: ANDIKENI HABARI ZA KUMKOMBOA MWANANCHI
Mshehereshaji ambaye ni Mwanakamati ya maandilizi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama akiwatambulisha baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (hawapo pichani) kwa mgeni rasmi Jaji Mstaafu Mark Bomani.(Picha zote na Zainul Mzige). Baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (Ma-veterans) wakimsalimia mgeni rasmi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 May
Andikeni Habari za kumkomboa Mwananchi : Jaji Bomani
Mshehereshaji ambaye ni Mwanakamati ya maandilizi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama akiwatambulisha baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (hawapo pichani) kwa mgeni rasmi Jaji Mstaafu Mark Bomani.(Picha zote na Zainul Mzige).
Na Mwandishi wetu
Jaji Mstaafu Mark Bomani amesema lengo la mchakato wa Katiba ni kuhakikisha kwamba Tanzania inapata Katiba ambayo ni bora zaidi kuliko zote itakayoshughulikia changamoto na kuweka mazingira ambayo...
11 years ago
GPLWANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI
10 years ago
GPLJAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Jaji Bomani asipuuzwe
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani, amesema kuwa Tanzania kwa sasa haitaweza kupata katiba mpya huku akionya kwamba amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa. Kwa maono...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
CCM, msiyapuuze ya Jaji Bomani
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Jaji Bomani awabeza wanaomlaumu Warioba
JAJI mstaafu Mark Bomani, ameeleza kushangazwa na kuhuzunishwa na kauli za baadhi ya viongozi, miongoni mwao wakiwamo anaowaheshimu kuhusu kupinga mapendekezo ya serikali tatu yaliyomo katika rasimu ya pili ya...
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Wanahabari: Andikeni Habari za VVU na UKIMWI zenye kuleta matumaini
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana wakati warsha ya siku tatu ya mradi mpya kuhamasisha Vijana kuhusu udhibiti wa Maambukizi mapya ya VVU iliyofanyika hivi karibu katika kituo cha Habari na Mawasiliano Sengerema, Mwanza chini ya mradi wa SHUGA unaoendeshwa kwa pamoja na mashirika ya Umoja wa Mataifa UNICEF...
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Jaji Bomani: Kura ya Maoni Aprili 30 ni muujiza
10 years ago
Vijimambo02 Apr
Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.
Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...