Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI BUBESHI AKABIDHI RIPOTI YA TUME YAKE KWA MHE. SAMUEL SITTA

 Jaji Bubeshi na timu yake wakifanya maongezi na Mhe. Samuel Sitta ofidini kwake siku ya Jumanne March 24, 2015 kabla ya kumkabidhi ripoti  ya kuchunguza mwenendo uliokuwa unalalamikiwa kuhusu aliyekuwa DG Eng Madeni Kipande katika Mamlaka ya Bandari Tanzania. Jaji Bubeshi na timu yake wakiendelea na mazungumzo na Mhe. Samuel Sitta. Jaji Bubeshi (kulia) akijiandaa kukabidhi ripoti kwa Mhe. Samuel Sitta.Jaji Bubeshi akimkabidhi Mhe Samuel John Sitta ripoti ya tume aliyoiunda ya kuchunguza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MHE. JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA KATIBU MKUU

Wawakilishi wa Kudumu wa Tanzania,  Balozi Tuvako  Manongi na  Christopher  Grima Malta wakitia sahihi hati za kuanzisha uhusiano wa  kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi. Wanaoangalia utiaji sahihi  ni   Tully Mwaipopo Afisa Mwandamizi  wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania na Bw. Alan Cordina, Afisa wa Uwakilishi wa  Kudumu wa Malta.
 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako  Manongi na  Mwakilishi wa Kudumu wa Malta katika Umoja wa Mataifa,  Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

MHE JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA KATIBU MKUU

 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako  Manongi na  Mwakilishi wa Kudumu wa Malta katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Christopher  Grima wakipongezana  mara  baada ya  kutia sahihi  hati  walizoshika za kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi. Hati hizo baadaye ya zitawasilishwa  rasmi  kwa  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. 
Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya  Malta zimekubaliana kuanzisha uhusiano  wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mazungumzo na Mhe Samuel Sitta (Pt I).......KATIBA

Karibu katika sehemu hii ya kwanza kati ya mbili za mazungumzo na Mhe. Samuel Sitta (Mb)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania mwaka 2014.
Aliketi nasi kuzungumzia zaidi suala hili la Katiba hii pendekezwa, na mchakato mzima wa kuipata
Karibu
 

 

10 years ago

Vijimambo

Mazungumzo na Mhe Samuel Sitta......Wizara na Kugombea Urais

Karibu katika sehemu hii ya pili ya mazungumzo na Mhe. Samuel Sitta (Mb)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania mwaka 2014.
Aliketi nasi kuzungumzia kuhusu kazi zake kama Waziri wa Uchukuzi na pia nia yake ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2015)
Karibu

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini

PIX 1

Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba  akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.

PIX 3

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu: Samuel Sitta alisaliti ahadi yake

Ikiwa ni takriban majuma mawili sasa tangu Bunge la Maalumu la Katiba likamilishe kazi ya kuandika Katiba Inayopendekezwa, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema anajuta kumchagua Samuel Sitta kuwa mwenyekiti wa chombo hicho, akidai kuwa amesaliti ahadi yake kwa wapinzani wakati akiomba kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani