JAJI LEWIS MAKAME KUZIKWA PONGWE, TANGA JUMAMOSI
Marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame enzi za uhai wake. Nyumbani kwa marehemu eneo la Masaki, Dar es Salaam.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Mwili wa Jaji Makame kuzikwa Tanga
10 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mama Salma Kikwete aongoza mazishi ya Jaji Mstaafu Lewis Makame, Tanga
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kijijini...
10 years ago
GPLJAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: Jaji Lewis Makame afariki Dunia
taarifa kamili itakuja baadae.
10 years ago
GPLMAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME
10 years ago
MichuziRATIBA YA KUUAGA MWILI WA JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI,MH. LEWIS MAKAME
MUDA TUKIO MHUSIKA 3.00- 3.30 ASUBUHI WANANCHI NA WATUMISHI KUWASILI KAMATI YA MAZISHI 3.30 – 4.00 ASUBUHI VIONGOZI WASTAAFU, MAWAZIRI, MAJAJI WASTAAFU , VIONGOZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, SERIKALI, TAASISI NA VYAMA VYA SIASA KUWASILI KAMATI YA MAZISHI 4.00 -4.15 ASUBUHI WAH....
10 years ago
GPLRATIBA YA KUUAGA MWILI WA JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI, MH. LEWIS MAKAME LEO
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Rais Kikwete atoa pole nyumbani kwa marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2014.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...