NEWS ALERT: Jaji Lewis Makame afariki Dunia

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,inaeleza kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini,Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
taarifa kamili itakuja baadae.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mtanzania19 Aug
Jaji Makame afariki dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Lewis Makame.
NA WAANDISHI WETU
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Lewis Makame, amefariki dunia.
Taarifa ambazo MTANZANIA ilizipata zinaeleza Jaji Makame alifariki dunia jana katika Hospitali ya AMI Trauma Center, iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo, MTANZANIA lilifika nyumbani kwa marehemu Masaki ambako mmoja wa watoto wa...
5 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

11 years ago
GPLJAJI LEWIS MAKAME KUZIKWA PONGWE, TANGA JUMAMOSI
11 years ago
Michuzi
RATIBA YA KUUAGA MWILI WA JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI,MH. LEWIS MAKAME

MUDA TUKIO MHUSIKA 3.00- 3.30 ASUBUHI WANANCHI NA WATUMISHI KUWASILI KAMATI YA MAZISHI 3.30 – 4.00 ASUBUHI VIONGOZI WASTAAFU, MAWAZIRI, MAJAJI WASTAAFU , VIONGOZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, SERIKALI, TAASISI NA VYAMA VYA SIASA KUWASILI KAMATI YA MAZISHI 4.00 -4.15 ASUBUHI WAH....
11 years ago
GPL
MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME
11 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mama Salma Kikwete aongoza mazishi ya Jaji Mstaafu Lewis Makame, Tanga
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kijijini...
11 years ago
GPL
RATIBA YA KUUAGA MWILI WA JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI, MH. LEWIS MAKAME LEO