Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Lyimo msuluhishi migogoro ya bima

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande amemwapisha Jaji mstaafu Vincent Lyimo kuwa msuluhishi mkuu wa migogoro ya bima nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AMUAPISHA MHE. VINCENT LYIMO KUWA MSULUHISHI MKUU WA MIGOGORO YA BIMA NCHINI

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akimwapisha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mh. Vincent Lyimo kuwa Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima nchini, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mapema leo ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu. kulia ni Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Jaji Vincent Lyimo, Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima akisaini hati ya uteuzi mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman (hayupo pichani) Jaji Mkuu wa Tanzania Mh....

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO

Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Jambo hili linaleta Taswira mbaya kwa jamii, hasa kipindi hiki ukielekea katika uchaguzi Mkuu wa nchi.
Athari za migogoro hii ni nyingi, ikiwemo chama cha kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, kupoteza mvuto kwa jamii na wanachama wake, ukosefu wa amani na utulivu ndani ya chama na kupoteza sifa za usajili.Hivi sasa mfumo wa demokrasi ya vyama vingi vya siasa una takribani miaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Bima Lee: Bendi ya Shirika la Bima iliyotamba kwa mtindo wa Magnet Tingisha

Muziki wa dansi nchini una historia pana ikiwahusisha wanamuziki, kazi zao na bendi walizowahi kupitia kama ajira lakini pia kukua kimuziki.

 

11 years ago

Mwananchi

Lyimo: Tanzania hatuthamini michezo

Nilianza kucheza gofu zamani hadi leo naupenda mchezo huu, lakini nilipokuwa mdogo nilicheza mchezo wa squash. Hata hivyo baada ya kuona umepoteza malengo nikajikita kwenye gofu,” ndivyo anavyoanza kusimulia mchezaji na mwanachama wa klabu ya gofu ya Gymkhana ya Arusha, Mzee Perfect Lyimo.

 

5 years ago

Michuzi

KUNRADHI NDUGU SIA LYIMO


Mnamo tarehe 30/04/2020 tulichapisha habari  kuhusu sakata la wafanyakazi wa Impala Group na Hoteli ya Naura iliyopo Arusha ambapo mwakilishi wetu huko alileta habari kwamba alimhoji Ndugu Siya Lyimo, jambo ambalo imeonekana siyo kweli na kuleta usumbufu kwa Ndugu Sia Lyimo na kuhatarisha kumchonganisha na viongozi wa mkoa na wilaya ya Arusha.
Tunaomba radhi kwa ndugu Sia Lyimo kwa taarifa hiyo ambayo tunakukiri kwamba inaonesha hakuwahi kuhojiwa na mwakilishi wetu huyo; na ambaye kwa kosa...

 

9 years ago

Mwananchi

Lyimo-Siwezi kutoa ahadi zisizotekelezeka

Mgombea wa urais kwa tiketi ya TLP, Macmillan Lyimo amesema hawezi kutoa ahadi zisizotekelezeka kama wafanyavyo wanasiasa wengine, badala yake atakuja na mipango mahususi ya kupambana na umasikini.

 

9 years ago

TheCitizen

Lyimo misses one vote in his presidential bid

Vunjo. He went campaigning in several regions asking people to vote for him. Some will vote for him today, but he will not be able to vote for himself.

 

9 years ago

TheCitizen

Tanzanians shouldn't vote on a Sunday: Lyimo

“Friday, Saturday and Sunday should be omitted by the National Electoral Commission to allow Tanzanians the chance to worship for the peaceful elections. Hence Monday will be convenient for all voters to exercise they civic right,” says the politician.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MWALIMU LYIMO: Tunahitaji chombo huru cha kusimamia elimu

WAKATI akisoma hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014-2015 bungeni mjini Dodoma hivi karibuni; Waziri Kivuli Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani