JAJI MALLABA AKABIDHI OFISI ZA NEC KWA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya Tume...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Aug
Jaji Mallaba akabidhi ofisi za NEC kwa Mkurugenzi mpya wa uchaguzi, Kailima Kombwey

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati...
10 years ago
GPL
JAJI MALLABA AKABIDHI OFISI ZA NEC KWA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI KAILIMA KOMBWEY
10 years ago
Habarileo01 Feb
Muhongo akabidhi ofisi kwa Simbachawene
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekabidhi rasmi wizara hiyo kwa waziri wa sasa, George Simbachawene, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
10 years ago
Vijimambo
JAJI BUBESHI AKABIDHI RIPOTI YA TUME YAKE KWA MHE. SAMUEL SITTA




10 years ago
Michuzi
Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene jijini dar leo


Na Chalila Kibuda,Globu ya...
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Jaji Bomani akabidhi tuzo kwa Watanzania waliotoa mchango mkubwa kutetea haki na jamii nchini
Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.
Jaji mstaafu Mark Bomani Skafu Saed Kubenea taasisi ya Dream Success...