Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI MALLABA AKABIDHI OFISI ZA NEC KWA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI KAILIMA KOMBWEY‏

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Jaji Mallaba akabidhi ofisi za NEC kwa Mkurugenzi mpya wa uchaguzi, Kailima Kombwey

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI MALLABA AKABIDHI OFISI ZA NEC KWA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI

Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya Tume...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Amuapisha Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi Bwa.Kailima Ramadhani Kombwey Jioni hii Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya muapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015. Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
Rais wa Jamhuri… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY JIONI HII IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015. Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amuapisha Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kombey Ikulu jijini Dar

t (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam, Julai 25, 2015.

t (2)

Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni, Julai 25, 2015.

Rais-uteuzi-tume ya uchaguzi.doc 

 

5 years ago

Michuzi

KAILIMA ATEMBELEA OFISI ZA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) DODOMA KUONA MWENENDO WA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA CHAMA HICHO



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa maelekezo ya Serikali kwa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) hawapo pichani, baada ya kukuta Ofisi zao zikiwa zimefungwa na hakuna maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho. Kailima, ameelekeza Wanachama wote wanaotaka kushiriki kwenye Mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani