Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mkuu arusha kombora

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kesi za Operesheni Tokomeza Ujangili hazikufunguliwa wala kuamriwa porini bali zilifunguliwa na kusikilizwa kwa mujibu wa sheria katika mahakama. Aliyasema hayo jana katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa arusha kombora

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua siri kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeanza kuuza baadhi ya viwanda vya umma kwa wake za marais na wabunge wa chama...

 

10 years ago

Mtanzania

Kinana arusha kombora Ikulu

kinanaNA ELIYA MBONEA, DODOMA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemshauri Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, awachukulie hatua watumishi wote wa Serikali wanaohusishwa na mgawo wa fedha za Escrow.
Akihutubia wakazi wa mji wa Dodoma jana katika viwanja vya Barafu, Kinana alisema haiingii akilini kuona mtuhumiwa wa ufisadi akitokea ofisini kwenda kuhojiwa kuhusu jinsi alivyopewa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.
Kutokana na hali hiyo, alisema kuna haja kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa

g6NA BAKARI KIMWANGA, GEITA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.

Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa  mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa atua Dar, arusha kombora zito

Dar es Salaam. Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kuandikisha wapigakura kwenye mikoa ambayo ni ngome ya CCM na kwamba ile yenye upinzani itaandikishwa kwa kulipua ili watu wengi wenye sifa ya kupiga kura wasiandikishwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu arusha kombora lingine kwa mawaziri

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge, jana walituhumiwa kutumia vibaya nafasi zao kwa kuweka fedha nyingi za miradi ya maji katika maeneo wanakotoka, huku sehemu zenye matatizo ya huduma hiyo zikitengewa fedha kiduchu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora


KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA
Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!
Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama chaCCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa
kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeniya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa nawenzake walianza kampeni ya...

 

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN AWAAPISHA KAIMU JAJI MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU AFYA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima  Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini… ...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AMUAPISHA MHE. VINCENT LYIMO KUWA MSULUHISHI MKUU WA MIGOGORO YA BIMA NCHINI

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akimwapisha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mh. Vincent Lyimo kuwa Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima nchini, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mapema leo ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu. kulia ni Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Jaji Vincent Lyimo, Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima akisaini hati ya uteuzi mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman (hayupo pichani) Jaji Mkuu wa Tanzania Mh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani