Dk. Slaa arusha kombora
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua siri kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeanza kuuza baadhi ya viwanda vya umma kwa wake za marais na wabunge wa chama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Dk Slaa atua Dar, arusha kombora zito
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Kinana arusha kombora Ikulu
NA ELIYA MBONEA, DODOMA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemshauri Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, awachukulie hatua watumishi wote wa Serikali wanaohusishwa na mgawo wa fedha za Escrow.
Akihutubia wakazi wa mji wa Dodoma jana katika viwanja vya Barafu, Kinana alisema haiingii akilini kuona mtuhumiwa wa ufisadi akitokea ofisini kwenda kuhojiwa kuhusu jinsi alivyopewa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.
Kutokana na hali hiyo, alisema kuna haja kwa...
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa
NA BAKARI KIMWANGA, GEITA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.
Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Jaji Mkuu arusha kombora
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kesi za Operesheni Tokomeza Ujangili hazikufunguliwa wala kuamriwa porini bali zilifunguliwa na kusikilizwa kwa mujibu wa sheria katika mahakama. Aliyasema hayo jana katika...
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Lissu arusha kombora lingine kwa mawaziri
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Oqaws6peaw0/VZysfWA5k3I/AAAAAAAAxWc/Dysd-zC6rMg/s72-c/Christopher-Mtikila.jpg)
Mtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora
![](http://2.bp.blogspot.com/-Oqaws6peaw0/VZysfWA5k3I/AAAAAAAAxWc/Dysd-zC6rMg/s400/Christopher-Mtikila.jpg)
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA
Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!
Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama chaCCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa
kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeniya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa nawenzake walianza kampeni ya...
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Wauawa kwa kushambuliwa na kombora
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Wapinzani Mwanza wapigwa kombora